Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Majina yangu rejea hapo juu kwenye username. Elimu Mhitimu wa shahada ya kwanza ya hisabati (bachelor of science in Mathematics, 2014 at THE UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM)). Umri. Nilizaliwa awamu...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiume mkakamavu na mtii mwenye umri wa miaka 22 naishi tabora, nina elimu ya kidato cha 6 PCB. Naandika andiko nikiwa nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali kwamfano:kuuza duka...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Je, Wana JF mhitimu wa shahada ya 1 anaweza Kunufaika kwa kiasi gani akijiunga na JWTZ/TPF kwa kipindi hiki cha ukosefu wa ajira kama wimbo wa taifa letu?.Tafadhalini sana mchango wenu ni wa...
2 Reactions
123 Replies
34K Views
habarini Wana jf. mimi ni kijana wa miaka 23 nasoma bsc chemistry,Mwenge catholic university natalajia kumaliza chuo mwezi wa nane mwaka huu(2024). hivyo basi natafuta sehem ya kufany internship...
1 Reactions
0 Replies
519 Views
Samahani wana JF nilikuwa naomba kwa wanaofahamu kuhusu mishahara wanaolipwa wahandisi wa umeme (Electrical engineers) kwa graduate wa kuanzia diploma, degree na masters pamoja na careers...
0 Reactions
32 Replies
58K Views
Wakuu naomba kuuliza ofisi za crown FM radio zpo wapi? Nikaombe Kaz na mm ya photographer na videographer na uandaaji wa vipindi Mwenye kufahamu anokuze .. ,🙏🙏
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu ni NGO's zipi hapa nchini zinaongoza kwa kulipa mishahara minono zaidi,marupurupu na posho kubwa zaidi kwa Tanzania?
3 Reactions
16 Replies
3K Views
NAME : George Gaspar Francis GENDER : Male AGE: 30 Years EDUCATION: Degree of Bachelor of Laws INTERESTED JOB: I'm interested working in human rights & social justice related activities. TARGET...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Napenda kufahamu mtu anayeanza kazi TPDC kama techncian anakuwa analipwa Basic salary kias gani
5 Reactions
44 Replies
10K Views
Tigo Tanzania is the leading innovative telecommunication company in the country, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle brand. Projects Manager Products Quality Assurance Officer...
1 Reactions
4 Replies
680 Views
Wnjamvi Serikali inaenda kuajiri Walimu hivi punde kutokana na mchakato wa kuomba kukamilika. Naishauri Serikali isiwapost bure tu bila kuwapima walimu hawa. Walimu wengi hasa wa Sekondari hawana...
13 Reactions
148 Replies
15K Views
Wakuu. Jana Tar 05 July wametangaza hizo nafasi. Waliosoma Diploma ya izo kozi mapambano yaendelee.
1 Reactions
0 Replies
459 Views
Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Elimu ñdio ilikuwa ukombozi wakutegemewa na Wanawake waliowèngi na vijana kutoka familia maskini. Wanawake wengi hasa wale waliokuwa wanafanya vizuri shuleni...
4 Reactions
14 Replies
562 Views
Habarini wanajukwaa nipo mbele yenu natufuta kazi yeyote ambayo itaniingizia kipato au kama kuna mtu mwenye connection akaniunga kazi zilipo naomba anisaidie. Nina diploma ya procurement and...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Toka mwaka jana Serikali iliahidi kutoa ajira kadhaa kwenye sekta ya afya na elimu, kati ya mwezi wa kwanza au wa pili na haijawa, katika bunge la bajeti waziri akaahidi kabla ya June 31 ajira...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
The United States Government, represented by the U.S. Agency for International Development (USAID), is seeking offers/applications from qualified persons to provide personal services under...
2 Reactions
2 Replies
554 Views
Habari za Asubui wana JF, Naomba kuleta mada kwenu kuhusu haya mashirika ya kigeni yanayojiita ya kusaidia binadamu (humanitarian) au kujiita mashirika ya kimataifa yasiokuwa ya kiserikali...
10 Reactions
34 Replies
5K Views
Sharing is Caring! Kama una sifa zote za kutoa elimu ya awali tuwasiliane nikupe connection katika shirika flan! Nafasi ni mbili! Asanteni!
2 Reactions
0 Replies
584 Views
Maombi yote yatumwe kwenye official e mail ya kampuni yetu kama inavyo onekana kwenye attachment. All the best.
2 Reactions
2 Replies
356 Views
Binafsi nimeshawahi kufanya kazi kwa Muhindi kama Bosi wangu. Kipindi naanza kazi nilikutana na ahadi kibao na mambo mazuri mazuri tuliahidiwa kama kazi ikiwa nzuri marupurupu yataongezeka...
25 Reactions
414 Replies
56K Views
Back
Top Bottom