Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wanahitajika Madreva 5 Kwa ajili ya Mkataba wa mradi wa ujenzi. Madereva wanaohtajika ni walw wenye Class C. Madreva wenye Class E&G Kwa mawasiliano piga 0769488409 au tuma taarfa zako...
3 Reactions
9 Replies
874 Views
Urgent call: Wanahitajika walimu wawili mmoja wa somo la KEMIA NA BAIOLOJIA na mwingine HISTORIA NA JOGRAFIA. NGAZI YA ELIMU: Awe na shahada ya Ualimu. VIGEZO: Mwalimu mahili na mbobevu kwenye...
4 Reactions
2 Replies
818 Views
Wakuu kwema! Jamani nina mdogo wangu anataka kusoma ngazi ya cheti, sasa naomba mwenye kujua kwa mkoa wa arusha chuo gani pale anaweza akapata nafasi kulingana na ufaulu wake kama nilivyosema hapo...
1 Reactions
6 Replies
606 Views
Jamani tangazeni basi ajira ili watakaobarikiwa kupata wapate kama Kuna watu wasemaji humu mtusaidie kupaza sauti
2 Reactions
8 Replies
439 Views
Habari wakuu, Mimi ni fundi rangi za nyumba, nina uzoefu wa miaka zaidi ya 10 katika kazi hii. Ninauwezo wa kufanya kazi hii kwa ustadi mkubwa. Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba kazi ama...
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Mwaka mpya wa kiserikali umeshaanza, nadhani hapo nyuma tulishapokea shadi mbalimbali kutokana na suala la ajira hususani hizi za ualimu na afya lakini naona bado ubao umenuna Mbona hili suala la...
2 Reactions
11 Replies
786 Views
Napitia hapa kazi za tra nimeona kuna kazi zinahitaji diploma, kiukweli diploma wanakuwaga wachache na hii inakuwa faida kwa wenye diploma maana nafasi hizi mtu aliepitia form 6 hawezi ku appy...
9 Reactions
74 Replies
11K Views
Anahitajika mfamasia mwenye Degree, mshahara utakuwa ni makubaliano kati ya mkurugenzi na muhusika. Tupo mkoa wa Lindi kwa maelezo zaidi piga +255 627 826 480 au 0656 704 979 Karibuni sana.
0 Reactions
2 Replies
685 Views
Ah naitwa Ernest. Natafuta gari ya hesabu. Haijalishi ni namba ya private au commercial. Na leseni class C. Na uzoefu wa miaka 4 kwenye Uber n Bolt. No yangu: 0783610244 0783610244 0783610244
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu, nimeitwa kwenye interview tarehe 17 itafanyika CRDB BANK HOUSE MIKOCHENI,naomba mnielekeze nafikaje hapo Mimi natokea tabata kimanga. Nashukuru kwa msaada wenu maana kuuliza si ujinga
0 Reactions
56 Replies
13K Views
Habari za muda huu wana jf, Nina shida na natafuta kazi, nina Certificate of Achievement, natafuta kazi ya counter (nina uzoefu), duka la simu au la nguo (accessories) kwa mwenye connection...
1 Reactions
5 Replies
787 Views
Ni matumaini yangu kwmb wana jf mpo poa!naomba kujuzwa kiwango cha mishahara kwa hawa wakala wa barabara tanzania TANROADS hasa kwa nafasi za WEIGHBRIDGE OPERATORS!Nimeona salary scales km vile...
0 Reactions
39 Replies
30K Views
Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti) Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi swali...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu habari za saizi Nimekuwa na wakati mgumu sana hivi karibuni. Nimebahatika kuitwa katika interview zaidi ya 3 lakini zote zimekosa sababu sina expirience yani uzoefu Naomba kwa yoyote...
2 Reactions
4 Replies
609 Views
Wakuu habarini za majukumu. Jamani Nipo hapa naombeni ushauri. Je ni sake kibarua kipi kati ya hivi viwili Vya wachina. Vyote naweza kupenya 1. Niende kwenye ujenzi wa miundo mbinu. Wakuu kama...
2 Reactions
12 Replies
830 Views
Viongozi habari za muda huu Katika maisha ya kufanya kazi Kuna mistakes za hapa na pale ambazo unaweza kuzifanya wewe mwenyewe au mtu mwengine ambapo msala unaweza kuwaangukia watu wote ofisi...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Hi wakuu. Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahulu Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be...
4 Reactions
65 Replies
3K Views
Binafsi, nilitambulishwa kwa mke wa Mheshimiwa fulani. Nikaona niwe na mawasiliano naye mara kwa mara kama dada yangu. Hivi majuzi, aliniuliza kama nilikuwa tayari nimepata ajira. Nilipomwambia...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Mawasiliano +255620666761 Naendesha class D vehicles only.
1 Reactions
3 Replies
476 Views
Bila kupoteza muda Mimi in mkemia Wa dhahabu kwenye upande Wa plant Natafuta kazi kwenye chimbo lolote hata nikianza nikiwa chini ya mkemia mwengine sawa( wakemia wenzangu mniunge kwenye kazi)...
0 Reactions
3 Replies
560 Views
Back
Top Bottom