bryanrt01
Senior Member
- Jan 31, 2017
- 168
- 79
Jamani wana JF mimi naitwa Brighton natafuta kazi ya kuwa msaidizi wa dereva (tingo) kwenye magari makubwa ya mizigo au mafuta. Kwakweli ni kazi ambayo naipenda ila sijui nitaipataje maana sifahamiani na mtu/watu wanaoweza kuniunganishia nikafanikiwa kupata hii kazi: sasa nimeona ni vizuri niandike humu Jamii Forum huenda nikapata mtu wa kuwa kiunganishi au mtu anaye hitaji mtu wa kusaidiana nae.. mawasiliano yangu ni 0745592994