Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Leo nataka kujibu swali hili kwa kuzingatia uzoefu na usaili unaoendeshwa na mataifa mengine katika kada ya elimu. Kwanza, walimu wengi wanaojiandaa kwa mitihani ya usaili wa Sekretarieti ya...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Bila shaka mnaendelea vizuri wakuu. Kama mada inavojieleza, kama kunamtu ana connection na kazi yeyote halali naomba anisaidie. Asanteni
1 Reactions
10 Replies
956 Views
Tuna mradi wa viwanja maeneo ya mwasonga Kigamboni, anahitajika mkandarasi wa barabara ambae atajenga barabara za ndani ya mradi na sisi tutampa sehemu ya ardhi/viwanja vilivyopimwa. Mradi Upo...
1 Reactions
1 Replies
406 Views
Ninatafuta kazi, Mimi ni mteknolojia wa maabara za hospitali niliyesajiliwa na baraza la HLPC nina leseni hai na nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania. Natanguliza shukrani🙏
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Hope wote mko poa kijana wenu naomba connection ya kupata pikipiki ya mkataba Makazi yangu ni Kisongo Arusha Namba yangu 0738527799 Ninauzoefu wa miaka mitatu kuendesha pikipiki na miaka miwili...
1 Reactions
1 Replies
602 Views
Leo nakuletea website tano bora zenye habari za ajira, kaa na mimi. 1. Storikka - storikka.co.tz 2. Mabumbe 3. Ajiraleo - ajiraleo.com 4. Brightermonday - brightermonday.co.tz 5. Ajiraportal...
2 Reactions
38 Replies
12K Views
Naanza na pole kwa watu wa maabara kwa kupewa mitihani ya watoto wa shule wakati ninyi tayari ni watu wazima wa kazini. Nimeona niandike thread hii kabla sijafanya mtihani hiyo ili nije niisome...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Leta hoja yako, ijikite kwenye 1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa. 2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi 3. Faida ya kufanya na kutofanya...
5 Reactions
126 Replies
6K Views
Wandugu hapa jamvini nadhani mnaendelea kutafuta ugali wenu wa kila siku. Ninataka kuhamia shirika moja la uhifadhi nchini nimefuatilia nafasi nimeambiwa ipo kumcheki HR kakaza anasema hamna...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wale wenye sifa tafadhali,mnakaribishwa.
1 Reactions
1 Replies
833 Views
Kada ya ualimu/Afya zamani "Ukimaliza unasubiri kupangiwa kituo" - Saizi milolongo lundo...
1 Reactions
8 Replies
839 Views
Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:- Stationary Secretary Duka...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Leo utumishi wametoa majina ya wasailiwa kada ya afya, usaili huo utaanza septemba 2 mpaka tarehe 9, katika mikoa waliombea nafasi! Niwapongeze sekretariati ya umma kwa kazi nzuri ambapo kwa sasa...
6 Reactions
77 Replies
10K Views
Jamni samahanini wanazengo ningependa kujua kwa ambao.hatukufanikiwa kuendelea na masomo advance tukaishia A level je kuna uwezekano wa kupata kazi migodini? Na kama ndio ni aina gan ya kazi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu! Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana JF, jana kulifanyika usaili wa Mchujo kwa kada mbalimbali za Utumishi wa Mahakama. Mwenye ufahamu jinsi ya kujua kama umechaguliwa juu kwenye Oral maana naona kimya halafu sielewi...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Leo vijana wa medical laboratory walikuwa na written interview lakini maswali yao yote yalibase kwenye maabara za viwandani na mashuleni Maana mtihani ulibase zaidi kwenye topic za density ile ya...
7 Reactions
72 Replies
4K Views
WRITTEN INTERVIEW RESULTS; HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST & TECHNOLOGIST PHARMACY
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wapendwa nipo na ndugu aliomba kazi za afya zilizotangazwa yeye ni clinical officer na alifanikiwa kuchaguliwa baada ya mtihani wa usaili. Sasa wakati anasubr siku ya oral interview...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,napatikana boda ya Tunduma, Elimu yangu kidato cha sita, natafuta ajira ya kuwa transporter au Agent ku clear mizigo boda ya Tunduma, nina uzoefu wa...
1 Reactions
1 Replies
612 Views
Back
Top Bottom