Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Job Description To assist with undertakings of the accounting function of the company in a professional manner to ensure the company meets its financial obligations. Timely processing of invoices...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Hello, Kwa walimu wenzangu na wenye experience na interview za utumishi, tupeane updates. Kama ni mwalimu wa Geography inamaana nijiandae vipi? Nisome course za Education like EP, EP...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF. Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Kwa majina naitwa Hamis Mahujaji Hamis, mwenye umri wa miaka 24, mwenye makazi ya mkoa wa Dar Es Salaam katika wilaya ya Kigamboni. Elimu yangu ni Ngazi ya cheti pia ni muhitimu muhitimu katika...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Hello we need Human Resource Officer All can apply Preferable female Knowledge in law will be an added advantage Place of work Zanzibar Qualification either certificate, Diploma or Degree in Human...
1 Reactions
0 Replies
365 Views
Wakuu niaje.... Ni mimi hapa kijana wenu Trojan, leo nimeona nishare na nyie kuhusu interview hasa oral. Ofcourse nimefanya oral interview nyingi sana ila kuna zingine niliboronga kabisa. Kuna...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya Uandishi na Utangazaji wa Habari, Afisa Uhusiano au call center Napatikana Dar...
0 Reactions
3 Replies
794 Views
Niko shortlisted mkoa X ajira za afya changamoto ni kwamba akaunti yangu iligoma katika ku-apply ilikuwa inasema am not qualified, licha ya kuwapigia lkn hawakupokea kunitatulia iyo shida hivyo...
5 Reactions
66 Replies
3K Views
Kuna kazi nyingi za kufanya ndani ya Nchi na nje ya Nchi huku ikitegemea na taaluma yako uliyosomea. Kuna watu wamepata kazi hizo kwa kupambana wenyewe huku wengine wakisubiri kusaidiwa kwa namna...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Je, baada ya Written interview atakayofanyia Dodoma , akifaulu kwaajili ya Oral Interview, atamfanyia Mkoa Upi? Dodoma ( alouombea ) yeye mwenyewe, au Tanga (alipobadilishiwa na Utumishi).?.
2 Reactions
4 Replies
698 Views
Habari zenu wakuu. Nimepata ronja kuwa sms za kuitwa KIHANGAIKO zimeanza kutumwa. Je, kuna yeyote amepokea?
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Interview ya mahojiano wamesema mhusika ataenda mkoa alioomba kazi kufanya interview, je kwa wale walioomba masomo mawili na kuwekwa mikoa tofauti anatakiwa kwenda pande zote mbili au atachagua...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za mida, jamani mwenye moyo wa msaada waeza okoa jahazi japo pate hata hela ya kula takushukuru pia. Umri: 22 Location: Mbezi- DSM Edc: Form6 Ujuzi: Cmputer Vipawa:sanaa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
If you are not aware, NOW is the time to apply for most scholarships if you need money for fall college enrollment. January, February and March have more scholarship deadlines than other times of...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
~
2 Reactions
7 Replies
678 Views
Habari za muda, Mimi ni nurse na nipo kwenye harakati za kupata ajira naomba msaada kwa yoyote anayeweza nisaidia kupata ajira. Asante.
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Wana jamii kindly assist. My friend is registered engeneer from CRB, more than 5 YEARS experience. He has computer science degree from russia. He is very good project manager, he does well...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi wao wamekuwa wakikumbana na vikwazo vingi na manyanyaso ambayo yamewaathiri kisaikolojia na kujikuta wakijiingiza katika tabia mbaya au kuwa watu waliochanganyikiwa akili. Utafutaji kazi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Dalili ya Kazi za Kitapeli: 1. Kampuni haina tovuti au akaunti katika mitandao ya kijamii. 2. Barua pepe ya mwajiri haiendani na tovuti rasmi ya kampuni au shirika halali 3. Maelezo ya kazi...
2 Reactions
2 Replies
727 Views
Back
Top Bottom