Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu hapa kuna gari inauzwa Toyota premio aina ya injini ni 7AT211 ya mwaka 1999.Inauzwa kuanzia 8.3ml ila maongezi yapo kwa mhitaji :email:kakakiiza@rocketmail.com au ni pm!kwa mawasiliano zaidi!
0 Reactions
36 Replies
7K Views
POSITION OVERVIEW Provide support to NMM to ensure that Safety Objectives are aligned with the business plans and that all Safety Programs are implemented in accordance with Barrick’s Standards...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nisaidieni kazi kwenye taasisi za kiraia ,nimechoka kutumikia serikali ya awamu ya nne ,sasa yaelekea bado ninao mpaka m2015! nina BA katka utawala na uzoefu mambo ya jamii hii serious bosi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hamjambo wana JF. Naomba ushauri, mimi nafanya kazi kampuni fulani nje ya Dar na familia yangu ipo Dar. Huwa napata likizo kila baada ya miezi mitatu. Mshahara wake ni mzuri. Nimepata kazi Dar ili...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
naombeni ushauri / msaada mwenzenu, natafuta temporary job , niko mwanza , ni mwanachuo wa SAUT nachukua sociology, BA , niko mwaka wa pili
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari zenu wana jf, mimi ni kijana nimeamua kujiajiri natafuta fremu ya kuanzisha stationary iwe maeneo karibu na chuo chochote- dar. naombeni msaada wenu, asanteni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kazini kwetu kuna mama mmoja wa kiganda, anafanya kazi nasi kama marketing manager...ila ana mambo ya ''kiswahili'', majungu, fitina, na kampeni za kutaka kusababisha wote tuliopo tuachishwe kazi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani nimekuja hapa jamvini nahitaji msaada wa mawazo. nina BSc.Home Economics and HumanNutrition. nimehangaika kutafuta kazi bila mafanikio. ninajitahidi sana kutembelea website kama vile...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya sinza, mwenge au kijitonyama. vyumba vitatu vya kulala, jiko, dinining room, choo cha ndani. kodi isizidi laki mbili na nusu kwa mwezi. wasiliana nami 0713775173
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mi ni graduate from UDSM bachelor of commerce natafuta kazi ya accountant
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fungua hapa ili kupata dondoo zaidi kuhusu usaili na uandishi wa wasifu. 01. Resumes, CV writing, CV samples, and Cover letters - CVtips.com 02. Job-Interview.net Interview In Depth Index...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Helo wadau, nimesikia kuna nafasi za kazi tigo wamezitoa kwenye daily news la jana naomba link wakuu
0 Reactions
4 Replies
5K Views
engine 1300cc,rangi silver,ipo katika hali nzuri ,piga 0755869500 au 0655300551
0 Reactions
10 Replies
2K Views
dear fellows,nimeikuta hii jaribuni kwa wanaomeet qualifications. JOB VACANCY Precision Air Services is a fast growing private Tanzanian airline which operates in partnership with Kenya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A great career opportunity is available to those that are SERIOUSLY seeking a better, stress -free career path for their FINANCIAL SECURITY. Are you tired of spending too much time at a...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Advans Bank Tanzania, a bank recently incorported in Tanzania, offers career opportunities to highly skilled and motivated professionals. The new institution is part of a network of financial...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Karagwe Media Association (KAMEA) is a Non–Governmental voluntary organization based in Karagwe District of the United Republic of Tanzania . One of the KAMEA’s objectives is to fill in the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani nauza nyumba yangu ambayo haijaisha imefika kwenye linta ipo Goba Mbezi juu. unaweza kupita tangi bovu au njia panda ya makonde na ukafika. nataka hela ya harakaharaka ili niende nje...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, nina gari aina ya Nissan safari, naiuza kwa bei poa kabisa inahitaji matengenezo kidogo katika body na engine mashine ni mil 4.5 tu na mazungumzo yanakaribishwa. tutwangie...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kindly find the detailed job adverts online: www.eac.int 1. Project Manager: http://www.eac.int/eac-tenders/doc_download/509-eac-fsdrp-project-manager.html 2. Financial Management...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Back
Top Bottom