Ushauri wa kuacha kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa kuacha kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Enny, Oct 23, 2010.

 1. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hamjambo wana JF. Naomba ushauri, mimi nafanya kazi kampuni fulani nje ya Dar na familia yangu ipo Dar. Huwa napata likizo kila baada ya miezi mitatu. Mshahara wake ni mzuri. Nimepata kazi Dar ili nikae na familia yangu ingawa mshahara si mkubwa. Kwa hilo nimeridhika. Ila nafikiria namna ya kumwambia bosi wangu hapa kuwa naacha kwani ni muda wa mwezi nilifikiria kuacha akanibembeleza niendelee nami nikakubali hapo nilikuwa sina kazi. lakini baada ya wiki mbili nikajulishwa kuwa nimpata kazi. Nisaidieni mawazo namna ya kumwambia bosi wangu wa sasa ili nitoke kwa amani hapa,
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,012
  Likes Received: 3,197
  Trophy Points: 280
  Mwambie umepata fursa ya kusoma/ mkeo/mzazi wako ni mgonjwa hivyo ni vema na busara inahitajika uangalizi wako wa karibu.
   
 3. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  siku akikufukuza ndo utamjua huyuo bosi wako

  mi huwa nashangaa sana watu wengine, hili nao ni la kuomba ushauri wakati sababu nzito unayo na umeitaja??!!

  hutofautiani na ndugu yangu mmoja yaani yeye hata akilwa anataka kwenda ****** lazima aulize, akitaka kupeleka pesa benk lazima aulize, akitaka kwenda kanisani lazima aulize.....
   
 4. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,319
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Kukaa mbali na familia ni mbaya sana kuliko mshahara mzuri, cha msingi ni je hiyo kazi uliyopata mpya ina maslahi? nenda ukafanye wakati huo huo ukitafuta nyingine nzuri zaidi, kwa ujumla ajira ni changamoto kwa familia nyingi. kuhusu kuacha kazi sijui unaomba ushauri wa namna ya kumwambia boss wako, just give him the resignation letter which show the notice of 28 days that is it.
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  cha muhimu ni kuwa wazi kuwa umepata kazi ambayo ina mshara mdogo kuliko hiyo yake lakini kuna vitu amabvyo vimekuvutia ambavyo ni kukaa karibu na familia yako sasa kama yuko tayari mkae chini na mrekebishe roster yenu ili kila upande uridhike, unaweza kufanya kazi 6weeks by 2weeks au two months for one month, ni mambo ya kuwa wazi na sioni haja ya kumfichsa na kumdanganya
   
 6. M

  Mp Kalix2 JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 5,212
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  Huhitaji kudanganya .Mpe Notisi (28)days na eleza sababu za ukweli tu.Habari ya kusema unaenda kusoma na blah blah zingine na wala huna mpango huo haitakujenga na siku akigundua umemdanganya atafukuza na utapoteza mafao yako.
  Kaa chini na utathimini kwa kiasi gani ume au unaathirika kukaa mbali na familia yako.Elewa kila kitu lazima kiende au kifanywe kwa malengo na kama bado hujafanya hivyo nakushauri ufanye hivyo kabla hujatoa notisi.
  Ushauri wa Ziada.
  Umeeleza kuwa umepata kazi nyingine yenye kipato kidogo, lakini bado usalama wake hujuueleza.Pata uhakika wa usalama wa kazi unayopanga kuhamia.Kama ulivyoeleza kuwa kipato kwenye ajira uliyonayo sasa kuwa si mbaya basi anzishia familia yako kiji mradi/kibiashara ili utakapo amua kuacha kazi hapo ulipo kiweze kuziba pengo litakalojitokeza.
  kazi kwako.
   
 7. d

  dotto JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Bosi wako alishaacha kazi mara ngapi na kuajiriwa hapo ulipo. Alifanyaje! Abiria Chunga mzigo wako.:A S 39:
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kuacha kazi kama uko kwenye position ya kuwaongoza walio chini yako huwa piga kubwa sana kwa mwajiri wako hasa pale ambapo wewe unaeacha kazi hujamwandaa mtu wa kuchukua nafasi yako. Kwa hiyo notisi ya masaa 24 ni uhuni labda kama wewe uko nafasi za chini sana kama za usafi. Anyway, barua yako ya ajira itakuwa inaelezea utaratibu wa kuacha kazi ni cha kufanya
   
 9. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kakaa mbali na familia ni mbaya sana- temporary separation-ina matatizo.Haswa katika kipindi hiki cha sasa.
   
 10. WABUSH

  WABUSH JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Be honest, mpe sure, akikubali poa, akijifanya kichwa ngumu achana nae.... familia ni mhimu kuliko hizo senti ofcourse una alternative why worry!!! Lakin jifunze kumweleza mtu ukweli bila kupindisha itakuweka huru
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Haya ni maisha yako na familia yako na si ya boss wako mpe notice ya mwezi inaqtegemea umekubaliana vip na mwajiri wako mpya mnaachana kwa amani
  Good luck
   
 12. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mwambie umeamua kurudi kwa mume/mkeo kujenga familia, huna haja ya kudanganya kabisa kwenye hilo. Nimeacha kazi juzi kurudi nyumbani kupumzika. watu wengi wamenishangaa sana. Ebu angalieni mida mnayopoteza makazini wakati wakati familia zenu zinawahitaji, wengine hata kuwafanyisha watoto wao homework ni mzigo akirudi anatafutana na kitanda tu. Mpaka lini wajameni?
   
 13. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kuwa mkweli na nafsi yako na weka wazi kinachokuachisha pale si maslahi ila ni umuhimu wa familia yako... na umwambie utakubali kufanya nae kazi siku za usoni iwapo huduma zako zitahitajika!!! Clear and simpo!:thinking:
   
 14. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180

  edson

  Kijana yuko right unless umejiari unamlisha mwenzio kasa...ukitoka sehemu yoyote avoid kuharibu ,avoid boss akasirike..ujui ya leo ama kesho..labda kwa kukuelekeza mi binafsi yalinipata anayosema nilikuwa barrick.niaketeseka sana sana mtoto wangu akazaliwa nikapewa week,nikarudi nikakaa miezi 3 nikarudi nkakaa mwezi dar,nkatudi nkapiga kama miezi tisa na ushee yule mtoto aliponiona alikuwa ananiogopa,,niliporudi nikatafuta kazi dar..nkapata mshara mdogo wa kula na familia yangu,,nikamwomba boss naenda kusoma aksema wapi nikamweleza,,akaomba nimalizie mwezi akanipa mafao yangu akaomba nikiwa dar nisiache kuwasiliana nae,mpaka sasa anauliza unakuja lini namwambia nikimaliza..so heshimu sehemu ya mwisho ya kazi yako....nakusihi edson huyu ni mwerevu kuomba ushauri

  Turdui kwenye mada ndugu familia ni kwanza mengine baadae..la muhimu usiache kazi wakati huna kazi ogopa hili mkataba mkononi omba kuacha naenda kusoma whatever,,mama na kama una mtoto tayari wanaitaji sana mapenzi yako,jitahdi sana sana wawekaribu nawe haya kwenye ndoa si mapenzi ya mungu kuishia far like this hii ni laana na shida...tusikubali kabisa.mungu akubariki ufanikiwe na dhumuni lako
   
 15. S

  SpK Member

  #15
  Oct 26, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  To: Mr. James Julia
  From: Scott Hent
  Date: November 16, 2009
  Subject: Resignation

  ***************************************************************************************

  Dear Jim,

  It's with somewhat of a heavy heart that I am submitting my written notice of resignation from Honeywell effective two weeks from today. My last day will be 11/30/09.

  The past few weeks have been a difficult time for me as I deliberated the direction of my career and whether it would be best served staying with Honeywell or moving to a new position with a new employer. I will be happy to answer any questions you may have, but I am not comfortable discussing my new position at this time.

  I will be happy to help train my replacement -- or do anything else you feel will help make the transition smoother.

  Thanks so much Jim. My experience at Honeywell has been rewarding and productive, and I wish only the best for you -- and for the company.
   
 16. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rudi dar uungane na familia yako. kuna risk nyingi kukaa mbali na familia. Hata matumizi ya familia mbili ni kubwa ukilinganisha na moja. Unaposema familia yako, kama ni mtoto na mke/mme, muhimu sana urudi haraka sana.
   
 17. M

  Mama Beto Member

  #17
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Enny,

  Pole sana kwa muda uliokuwa mbali na familia yako. kwa kuwa umepata kazi tayari wala huna haja ya kujishauri, cha muhimu ni kuondoka bila bosi wako kutoridhika na uamuzi wako, kwa kuwa mnaweza kukutana popote, si unajua maisha? hata hapo unapoenda anaweza akaja akawa tena bosi wako mtataangalianaje?

  Mwambie ukweli kwamba ulikuwa na hard time when u were there, na umepata post nyengine ambayo haina mshahara mzuri ila for the family sake u have to go. Sababu nyengine ambayo hata mi niliwahi kuitumia na haikumkera mtu bali iliwahuzunisha ni family problems...mimi niliachaga kazi zamani nikasema nina family problems ambazo zinaweza kuharibu utendaji wa kazi, watakuelewa, na unaweza kuomba kama wiki likizo ukaenda kureport katika new post, halafu nao ukawambia maybe utarudi after a week, huku ukingoja huko mkoani wapate mtu mpya au kama unae unawaintroduce na unamtrain for a week or two. Unaondoka kwa amani huku mkiwasiliana.

  Try that.

  Usikae mbali na familia kabisa, mbaya sana.
   
 18. S

  SNAKE HOUSE Member

  #18
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Problem ni kukaa na familia yako ,Kwa nini usiangalie uwezekana wa kuihamisha
  familia yako,kama haitaadhiri ?
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  SpK,thanks for that sample.
  Enny,familia nyingi za vijana zimepitia maisha hayo,mfano wa barua ya SpK hapo ulishanisaidia nami pia.Uki-google resignation letters utapata samples nzuri sana,but:
  1 dont say too much in ur letter,be proffessional and precise
  2 In ur letter appreciate the gorrming and experience uliyoipata proffessionally na personally kutoka kwa bosi wako
  3 Offer kusaidia kufanya a smooth handing over maybe kwa kum-train mtu ambaye atachukua nafasi yako ama kwa ku-suggest kama itahitajika

  It works to have a discussion na bosi wako kumuambia unafanya maamuzi magumu kwa ajili ya furaha ya ndani na maisha yako binafsi na sio kwa ajili ya uchumu.Mshukuru kwa kuwa bosi mwema na muelewa.It worked for me,and I am still friends with my ex-boss(na ni mwanamke,imagine...!)
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  usema ukweli familia ni muhimu sana ..... especially kama una watoto.. kwa hiyo kama ingekuwa ni mimi ningechukua ile kazi inayolipa kidogo... vumilia tu mpaka watoto wakue halafu wewe na mkeo mnaweza kuishi pamoja mahali popote.. ni ngumu kidogo ukiwa na watoto kwa sababu hutaki watoto wapoteze marafiki zao au ku badilisha shule na vitu kama hivyo.... kwa hiyo mimi naona mweleze tu ukweli huyo boss wako... at the end of the day u need to be happy wit ur decision..... take care
   
Loading...