Nafasi za kazi tigo...............................

xhera

Member
Jan 21, 2010
14
0
Helo wadau,


nimesikia kuna nafasi za kazi tigo wamezitoa kwenye daily news la jana naomba link wakuu
 
nimelikubali hili jamvi,kila kitu kina jibu mahali hapa,safi sana
 
nimelikubali hili jamvi,kila kitu kina jibu mahali hapa,safi sana

ulidhani nikijiwe cha chai mowa..he he heheeeeee, haya fungua hapo nilipokuelekeza fasta then ulete feedback but remember to pray

tafuta kwenye google mtandao unaitwa; naombakazi
 
Tujaribu kutoa habari kamilika maana zingine zanatusumbua tu:A S angry:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom