Toyota Primeo inauzwa!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wakuu hapa kuna gari inauzwa Toyota premio aina ya injini ni 7AT211 ya mwaka 1999.Inauzwa kuanzia 8.3ml ila maongezi yapo kwa mhitaji :email:kakakiiza@rocketmail.com au ni pm!kwa mawasiliano zaidi!
 

Attachments

  • Primeo1.JPG
    Primeo1.JPG
    905.9 KB · Views: 219
  • Primeo 3.JPG
    Primeo 3.JPG
    772.6 KB · Views: 170
  • Primeo 4.JPG
    Primeo 4.JPG
    593.1 KB · Views: 138
  • Primeo 5.JPG
    Primeo 5.JPG
    631.2 KB · Views: 165
  • Primeo 6.JPG
    Primeo 6.JPG
    675.5 KB · Views: 150
Wakuu hapa kuna gari inauzwa Toyota premio aina ya injini ni 7AT211 ya mwaka 1999.Inauzwa kuanzia 8.3ml ila maongezi yapo kwa mhitaji :email:kakakiiza@rocketmail.com au ni pm!kwa mawasiliano zaidi!

Hili bango limekaa mahali si pake! Wakuu, mbona kuna sehem maalum ya matangazo? Mnawapa kazi ya ziada hawa mods na hizo "premio" zenu.:mmph:
 
Gari ya 1999! Mileage iko vipi? na je ina service history maana hiyo bei mmmhhh
Wewe gari lazima ifanyiwe service kama hupo serious unafata maelekezo ya juu usione ukubwa wa samaki uliza bei kwanza!!
 
Ingefaa ukaweka na pic 2 au 3 za muonekano wa ndani na milage, vitu hivi ndo hufanya watu kuamua kwa urahisi. Bei sio ishu saana.
 
hili kama changa la macho vile..milage ya gari ni kitu muhimu sana kufanya uamuzi wa either kununua au kutonunua gari..
 
hili kama changa la macho vile..milage ya gari ni kitu muhimu sana kufanya uamuzi wa either kununua au kutonunua gari..
<br />
<br />
Mkuu siku hizi odo meter hapa mjini wanachakachua hata ukitaka 0 wanakurekebishia kwa mtu wamagari hawezikuulizia odo meter japan wanakuonyesha kwakuwa unakuwa unanua online ukiwa hapa picha ndo hizo kama unataka kujiridhisha na ndani unapanga unakuja unaiona kila sehemu unyokuwa na wasiwasi!!siyo baadhi ya watu wanataka picha yandani,injine,matairi,betri hiyo yote nikutokuwa makini na swala biashara lakini kama unjua nini biashara uwezi uliza maswali yenye chenga!!
 
hili bango limekaa mahali si pake! Wakuu, mbona kuna sehem maalum ya matangazo? Mnawapa kazi ya ziada hawa mods na hizo "premio" zenu.:mmph:

ndio maana tumeambiwa tuheshimu mamlaka ya nchi kila kitu tungekuwa tunamwelimisha kikwete kama mnavyokimbizana na mod angekuwa hoi,,mod ndiokazi yake wala usiwe na shaka nalo ata angeleta story za mapenzi anaona yote ukiona kaacha means akuna madhara ;lingine usifikiri kila mtu anataka just kuandika humu..so ukiona kaweka hapa ana lengo lake kaona wwengi wanashugulika na hapa..so mwachie kaka mod apumzike jamani
 
<br />
<br />
mkuu siku hizi odo meter hapa mjini wanachakachua hata ukitaka 0 wanakurekebishia kwa mtu wamagari hawezikuulizia odo meter japan wanakuonyesha kwakuwa unakuwa unanua online ukiwa hapa picha ndo hizo kama unataka kujiridhisha na ndani unapanga unakuja unaiona kila sehemu unyokuwa na wasiwasi!!siyo baadhi ya watu wanataka picha yandani,injine,matairi,betri hiyo yote nikutokuwa makini na swala biashara lakini kama unjua nini biashara uwezi uliza maswali yenye chenga!!

awajui japan kwenyewe tunachakachukuliwa sembuse hapa..kama unaliitaj tafuta ulione ukiridhika elewaneni ...kwa km m hata -10,000km/p nakuwekea na limekuja toka japan
 
awajui japan kwenyewe tunachakachukuliwa sembuse hapa..kama unaliitaj tafuta ulione ukiridhika elewaneni ...kwa km m hata -10,000km/p nakuwekea na limekuja toka japan
Mimi nakushukuru Pdidy naomba uwafunde wengi tunao humu hawajui mambo yamagari wengi wanapigwa akiona km hipo 30,000 anasema bado hii ilikuwa mpya haikutumika japan kumbe wamemchakachua na hawajui nini chakutizama kujua kam aimechakachuliwa!!wajanja huku kwenye thread za kukatisha tamaa!
 
Hiyo bei kama ipo show room...wakati usikute we mwenyew ulinunua used halafu uka iuse tena so ni doube used halafu unataka uuze kwa bei ileile uliyonunulia wewe hiyo siyo biashara kwa taarifa yako kuna premio ya 2001 show room ni m 8 tu na imelipiwa kila kitu.
nakushauri ushushe bei ili uwavutie wadau hata kuja kuiona tu zaidi ya hapo utakuwa unapoteza muda.
 
@Kakakiiza....Naona hufanyi biashara...na hili ndio tatizo kuu la watu kama lugha ya biashara huna muone unauza gari utafikiri unataka kutoa zawadi....Dah...Kuna mtu anauliza swali si yeye anataka kununua pengine ana mtu wangu tandaimba...kwenda kumwambia kuna gari inauzwa...tu kavu bila kumjibu maswali uliyo ulizwa...dah......inakuwa ngumua...

Uchakachuaji unatofautiana kati ya bongo na mbele(Japan) so no comparison so far so do the bussiness or leave the board...and take it show room for futher biashara.
 
hiyo mashine kama ni ya mwaka 1999, na imetumika bongo hehehhehehehehe.....ishakuwa kimeo....:dance:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom