Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wana JF kwani nitangulize shukrani zangu kwa ushirikiano weenu wa kila cku, nitakuwa tofauti kidogo na hisia zenu kutokana na heading ila lengo ni moja tu kusaidiana maisha maggumu kama hayo Kuna...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
WanaJF naomba msaada wa kuunganishwa na yeyote,popote penye kibarua chochote cha kujishughulisha nacho hapa DAR.Kiwango cha elimu yangu ni kidato cha sita,pia nina ujuzi wa kompyuta katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
natafuta msichana mwenye uwezo wa kufanya kazi kwenye saloon ya kike.awe mkazi wa dar es salaam.mshahara maelewano baada ya kuona uwezo wake. piga simu namba; 0752942996. karibu sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
changamkia hizo kazi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana JF, naamini hapa kuna mawazo na msaada tofauti,mimi ni member humu ndani wa muda mrefu kidogo,sasa nimemaliza degree ya nutrition,natafuta kazi lakini bado sijafanikiwa kupata nahitaji...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
JAMANI KUNA YOYOTE MWENYE TAARIFA KUHUSIANA NA MATOKEO YA INTERVIEW ILIYOFANYIKA TAR 28 na 29-MARCH-2011 KURASINI -TIA, ZILE NAFASI ZILIZOTANGAZWA NA UTUMISHI WA UMMA ZIKIWEMO ZA NATIONAL ID's...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Wanabodi nimekuwa nikiwasoma ktk janvi hili nikiwa nje ya wa uwanja, kwanza nawaomba mnisamehe kwa thread yangu ya kwanza kwa kuunza na swala la kutaka msaada. Ombi langu kuu, ni kunifahamisha tu...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Ndugu zangu naomba mnisanidie kunipatia elimu juu ya NGos na mashirika yafuatayo, hasa juu mishara,kukua kitaaluma, uhakika wa kibarua chako na amani uwapo kazini.Mashirika hayo ni:- FAO...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leading and managing KI's agricultural sector business development initiatives, the Agricultural Specialist will also play a support role in the implementation of the Feed the Future Initiative...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
post events,jobs,rafiki etc
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kati ya mashirika yenye bureaucrazy katika ajira ni TANAPA na NGORONGORO CONSERVATION. Hakuna uwazi katika ajira. Watoto wa Vigogo fulani fulani au watu wenye majina ndo wanaajiriwa...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Those who applied for the different posts of Tutorial assistant at MUCCOBS are being called for the interview that will be held in moshi. For more info, plz follow this link...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
sea cliff court luxury apartment wanatatafuta watu katika nafasi zifuatazo RECEPTIONIST PORTERS and HOUSEKEEPERS please kwa mwenye interest apeleke maombi na kama unandugu yako au rafiki yako...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
zipo hapa Current Vacancies - African Development Bank
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Position title: Senior Labour Market Economist Grade: PL5 Position N°: NA Reference: ADB/11/070 Publication date: 28/04/2011 Applications Closing date: 27/05/2011 Objectives...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
PRINCIPAL PERSONNEL AND ADMINISTRATION OFFICER Qualification: Holder of a Masters Degree in Public/ Business Administration Apply: The Director General, National Museum of Tanzania Box 511...
5 Reactions
6 Replies
4K Views
POST-DOCTORAL FELLOW – MIXED CROP – LIVESTOCK SYSTEMS SCIENTIST 28/04/2011 Number: PDFLSS/PLE/04/11 Department: International Water Management Institute (IWMI) Location: Addis Ababa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
The Finance Manager (FM) shall ensure proper financial management and administration in compliance with applicable Tanzanian and USG financial and administrative regulations—especially those...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CAS Human Rights Education Human rights are the fundament of a peaceful coexistence of a society. But only when women and men know about their human rights, they can claim them for themselves...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wadau. Watanzania tumekuwa tukijilaumu kuwa hatujui kunegotiate mishahara hasa tunapokuwa kwenye interview. Ninaomba kujua ni mbinu gani nizitumie ili niweze kuomba na kupata mushahara...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom