Kazi jamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi jamani.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Bendera ya bati, Apr 29, 2011.

 1. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WanaJF naomba msaada wa kuunganishwa na yeyote,popote penye kibarua chochote cha kujishughulisha nacho hapa DAR.Kiwango cha elimu yangu ni kidato cha sita,pia nina ujuzi wa kompyuta katika MS-Word,Excel,Access,Internet & E-MAIL.
  Nitashukuru sana kwa msaada wenu.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,446
  Likes Received: 19,814
  Trophy Points: 280
  ungependa ulipwe tsh ngapi?
   
 3. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Malipo maelewano mkulu.
   
 4. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni vyema ukaweka kiwango ili watu wakuunganisha na kazi zinazoendana na mshahara unaoutaka
   
 5. Elly B

  Elly B JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 1,194
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hi angalia posti ya Serio yenye kichwa cha habari "temporary job"
   
Loading...