msaada jamani,natafuta kibarua cha kupata pesa ya nauli na ya kufanyia job application

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
wana JF, naamini hapa kuna mawazo na msaada tofauti,mimi ni member humu ndani wa muda mrefu kidogo,sasa nimemaliza degree ya nutrition,natafuta kazi lakini bado sijafanikiwa kupata nahitaji kufanya temporary au part time job yeyote ili niweze kuapata pesa ya kufanyia application na nauli za kila siku pamoja na za kwuhudhuria kwenye interview pindi nitakapoitwa
nahitaji msaa wenu kwa yeyote, nina degree ya nutrition upper second,na skills kibao kama vile data analsis using spss,etc
 
mi nadhan life c kuajiriwa tu. waweza anza kua hata mjacriamali nawe uite watu kwa interview. Life is perfomance try it we andaa business plan yako peleka kwa washika dau utasaidiwa . Employment is totaly exploitation. Bt NI MTAZAMO TU!
 
hao wadau ni kama akina nani? Kama ni kujiajir tatizo ni mtaji,hata ninavyofikiria kuajiriwa ni kutafuta mtaji mkuu,nikipata mtaji najiajiri
 
financial institutions mbalimbali like banks,saccos, na NGO's plus washika dau kama MENGI nk. Ilimradi tu bzness plan yako iwe na sound kwa ushauri zaidi waone UDBS'udsm' au mtafute mkuu wa shule ya mwandege boys akusaidie
 
asante mkuu kwa ushaur wako
 
Back
Top Bottom