Tupeane taarifa juu ya mazingira ya kazi kwa ngos na mashirika yafuatayo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tupeane taarifa juu ya mazingira ya kazi kwa ngos na mashirika yafuatayo.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kimla, Apr 30, 2011.

 1. K

  Kimla JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,499
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu naomba mnisanidie kunipatia elimu juu ya NGos na mashirika yafuatayo, hasa juu mishara,kukua kitaaluma, uhakika wa kibarua chako na amani uwapo kazini.Mashirika hayo ni:-
  FAO tanzania,
  Wildlife conservation society of Tanzania
  Technoserve
  Lando'keswako arusha
  African wildlife foundation , ya Arusha pia.

  Natanguliza shukrani kwa elimu.
   
 2. K

  Kimla JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,499
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Do! Inaonekana na watu wachache wamewahi kufanya kazi kwenye hizo ngos ambao wanapitia JF. Sasa hizi taarifa tutazipata wapi kama siyo hapa?
   
Loading...