kwa yeyote mwenye Qualification na experience yakutosha kuna nafasi za Housekeeping, poters na receptionist katika hotel moja kubwa iliyopo masaki, so mwenye interest anaweza enda Sea Cliff...
Banking is one of the safest professions you can hope to get into. Jobs are aplenty, plus, banking jobs always look impressive in the resume.
http://bit.ly/goX8pX
PLUSFINANCECOMPANYLIMITED
"Business Consultancy and Credit Services"
It is Possible to move from Zero/ Business Idea To Great Success
Quality Of Our services, Timeliness, Affordability...
You will copy and paste the info I give you to a top classified website. I will give you 5 training videos, and if you can follow directions, I will hire you for 2 months and if you do a great...
Jamani wana JF, nina boss wangu mmoja simuelewi anamatatizo au ndo uongozi ulivyo? huyu mheshimiwa anatabia zifuatazo: - hana siri kabisa, likijiri jambo ofsini kwake lazima kila mtu ajue -...
Habari wana jamvi la jf..mimi ni kijana wa miaka 29 nina stashahada ya juu ya uhasibu (ADA) kutoka CBE, nilihitimu yapata miaka 3 iliyopita yaani 2008.Kwa sasa nafanya kazi kwenye kampuni binafsi...
PLUS FINANCE LTD
RESEARCH UNIT
We facilitate preparing Research Proposal and Report writing on your own.
We enhance you acquire the following practical techniques:-
1. Problem formulation...
Wengi tumekuwa tumeweka mawazo yetu sana kwenye ajira,nakumbuka mara nyingi ukimwambia mtu ajiajiri anasema hawezi biashara lakini wakati huo huo kaajiriwa kuendesha na kusimamia biashara ya mtu...
Hi
I will appreciate your views on the following:
From the little knowledge that i have on law; i think we are supposed to have
Expatriates for the rare professions and not for the...
Habari wana JF?
Naandika hii thread nikiwa na machungu sana, hii ni kutokana na tukio lilitokea hivi karibuni. Ukithimuliwa unaweza hisi halitaweza kukutokea, lakini lipo na linazidi kuwapo...
Wana JF,nisaidien kunipa business ideas ambazo zitanisaidia kupata 1 ambayo ni more profitable,yenye capital ya kuanzia Mil. 2 mpaka Mil.6,nisaidien ndugu zangu.
African Conservation Tillage Network
Vacancy: Program Officer Duty Station: Nairobi
Vacancy: Program Officer - Duty Station: Dar Es Salaam
The African Conservation Tillage Network (ACT) is a...
Wana JF;
Jamaa yangu anasaka Kampuni au mtu binafsi mwenye uwezo wa kufanya kazi za Videographer (kurekodi motion picture) na Kupiga picha za mnato (Photographer) kwenye shughuli ya Harusi. Kazi...
Mimi ni mwalimu wa masomo ya Sayansi O-level and A-level,nafundisha Mathematics,Physics na Chemistry. Natafuta Shule ya kufundisha. Yeyote anayeweza kunisaidia anitafute kwa e-mail...
Wana Jf,plz nisaidien kupata business ideas ambazo ni more profitable,zinazorange kwenye capital ya Mil.2 hadi Mil 6,nitashukuru mkinipa ushirikiano..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.