nifanye nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nifanye nini?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by solomonlaizer, May 13, 2011.

 1. s

  solomonlaizer New Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu,mimi ni mwanafuzi chuo cha mifugo,diploma in animal production.!Ninalikizo ya miezi mitatu nyumbani.!Nisaidie kama mdogo wenu nifanye nini mda wote huu wa likizo.?Nimetafuta tempo mpaka nimechoka.?Nisaidieni ndugu zanguni...!
   
 2. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anzisha mifugo au shamba la mfano.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  anza kufuga kuku wawili kisha tumia elimu yako kuwafanya wafikie elfu moja
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  umetembelea halmashahuri na ofisi za kata wamekunyima tempo?
  kama huko DAR nenda vertenary tazara pale au Temeke huone wana kusaidia vipi!
  unaishi mitaa gani?
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  si amesema ana miezi mitatau tu......

  hao kuku wakua within 3month?

  Hivi akili za watu wengine zipo kichwani kweli?..........
   
 6. s

  solomonlaizer New Member

  #6
  May 14, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Likizo nitakuwa dsm,nitajaribu temeke na vetenary tazara.Kuhusu kuku,ndugu yangu mtaji huo upo wapi,ninjejaribu pia.!Shukrani
   
Loading...