Natafuta kazi ya kufundisha computer chuoni kama mwl wa kudumu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya kufundisha computer chuoni kama mwl wa kudumu.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by gidytitus, May 18, 2011.

 1. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Nakusalimu, Mimi ni Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini, Makumira Arusha, nachukua digrii ya BEd in Computer Science, natarajia kumaliza masomo yangu mwezi July. Naomba kama kuna uhitaji katika chuo chako au unafahamu pahali ambapo kuna uhitaji huo tafadhari naomba tuwasiliane kupitia simu yangu ya mkononi kwa namba 0658 950 264 au kwa njia ya email gidytitus@yahoo.com. Ningali bado ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni mkristo mwenye msimamo halisi wa wokovu (Mpentecostal)
  Natanguliza shukrani!
  Asante sana!
   
Loading...