erique
JF-Expert Member
- Apr 23, 2010
- 582
- 565
Wadau habari zenu waote
Tafadhari naomba ushauri wenu,kwa yul anayefahamu habari za magari ya aina ya Nissan.
Mimi najipanga kununua gari,na ki ukweli nimekua nikivutiwa na mtazamo wa gari ya aina ya Nissan x TRAIL.Lakini nimekua nikisikia maneno huko mtaani kwamba ni mabovu na spare zake hua hazipatikani kwa bi nafuu.Ninaomba mnishauri (hasa kwa wale wenye utaalamu na magari haya)juu ya hili swala kama kuna ukweli wowote juu ya haya maneno.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.