Kazi za Chuo kikuu SAUT.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi za Chuo kikuu SAUT..

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mkeshahoi, May 10, 2011.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ahsante mkuu kwa taarifa. Isipokuwa kwa sifa wanazohitaji za waombaji kuwa Ma-Professor na kwamba wenye Masters (wanaweza kufikiriwa) itakuwa ngumu kuwapata kwani wako wachache katika nchi hii.
   
 3. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Deadline line?
   
 4. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  asante sana mkuu, nitajaribu kuapply.

  ubarikiwe
   
 5. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  nafikiri hapo kwenye bold ulikuwa unamaanisha "lini" au siyo?

  ila kulingana na sifa wanazotaka, nadhani hakuna deadline. unaweza ku-apply muda wowote unaotaka. mimi nita-apply ingawa nitakuwa available baadaye kidogo
   
 6. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Miss Judith, tuapply mkuu wangu tukapige shule watu! Itakuwa poa sana kufanya kazi nawewe! :typing:
   
Loading...