Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu. Nina BA Economics plus MBA Marketing. Sina experience yoyote zaidi ya field attachmden ya Project Planning. Yoyote mwenye fursa niko tayari. Mimi niko Dar. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Dear JF members and public as all,we are looking for Accounts Assistant.the candidate should be a form six holding Accounting Technician Certificate(ATEC) issued by NBAA.send only your CV to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mlisema mtatoa majina ya walimu na vituo vyao vya kazi leo mbona hatuoni au hakuna ajila kwa walimu semeni ukweli tujue serikali yetu inababaisha
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Waungwana nimesikia BBC jamaa mmoja anahojiwa kanasema eti kama mwanaume ameangaika bila mafanikio na anataka kutafuta kipato basi kazi rahisi kabisa kufanywa kwa mwanaume ni uandishi wa habari je...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani kichwa habari hapo juu cha husika tupeane info jamani!
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nihabarisheni wana JF Cocacola walishaita watu kwenye interview?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari, Kwanza napenda kushukuru kwa JF kutupa fursa ya habari mbalimbali, mimi ni kijana wa kiume na dereva mzuri nina leseni class E. Naishi Dar es Salaam, wadau naomba mnisaidie natafuta kazi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau pspf wametoa majina kwenye Gazeti la Uhuru la Leo(14/11/2011) ya watakaofanya interview ya pili.Kila la kheri kwa waliobahatika.
1 Reactions
5 Replies
7K Views
wale walio tuma maombi ya kazi Development support service Unit (DSSU) under undp. nafasi ya telephone operator mwezi wa saba, vipi wameshaitwa kwenye enterview.?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dear coleagues Please inform me, there is a friend of mine aliomba kazi hapo VETA na akiitwa kwenye enterview in October 2011, anahitaji kujua kama wameshaajiri hao watu au la.
1 Reactions
20 Replies
7K Views
references: Should be uploaded, if you do not have them available now, you should take the following action: - as part of this application form you can request that the University to...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Sijawahi kuona kazii zikiwekwa kutoka katika hii link,nimeona tupeane.Fungua link chiini Wavuti - Opportunities
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu Marafiki ni matumaini yangu ya kuwa tunaendelea vizuri na shughuli za kijamii pamoja na ugumu wa maisha ya kila siku.Leo hii napenda kuchangia juu ya maada ifuatayo''Ajira kwa Vijana'' hii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Eti ajira za walimu zatoka keshoooo au mawenge yangu! NAWAKILISHA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Job Title : Procurement/Supplies Officer II� 4 Posts Source : Bank of Tanzania Requirements :  Master�s degree in...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari marafiki, Katika ulimwengu wa sasa kuna mabadiliko ya namna mbalimbali,kwa viumbe na mazingira yake.Mabadiliko haya hutokana na na tabia asilia na pia za mpito au sababishi au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MEDICAL PRACTITIONERS POSITIONS at Aga Khan Health Services - Tanzania in Dar Es Salaam Project Manager - Phase 2 Development at Aga Khan Health Services - Tanzania in Dar Es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
jamani naulizia vipi wale tuliofanya written interview UDOM wameshaita watu kwa ajili ya Oral..?? na T-Marc Tanzania nao vipi wadau..??? nipeni taarifa..sijielewi!
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba nijuzeni kama hawa jamaa wamekwisha short list applicant? Nasubiria wandugu
0 Reactions
9 Replies
3K Views
UPIGIE KURA MLIMA KILIMANJARO BUREE KWA KUANDIKA NENO "kili" TUMA KWENDA 15771 Voda na Zein ni bure
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom