Ajira za walimu ni lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira za walimu ni lini?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Barnaba Bulugu, Nov 15, 2011.

 1. B

  Barnaba Bulugu New Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mlisema mtatoa majina ya walimu na vituo vyao vya kazi leo mbona hatuoni au hakuna ajila kwa walimu semeni ukweli tujue serikali yetu inababaisha
   
 2. M

  MANZI Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajira mpaka mwakani kwenye januari au februari
   
 3. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  M2 wang ajira mpaka mwakan kama una shamba jishughulishe hata kwa kilimo kama mi nimeshajiajiri kihivyo kwa hekari kama 3 hivi.
   
 4. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Tungekua ulaya tungekua tumesha filisika kabisa! maana hali yetu Ugiriki afadhali!
   
 5. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ajira zenu maticha wa digrii na diploma till next early year
   
 6. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Not early ni mid next year maana nimesikia kama mwaka ujao wa fedha!
   
 7. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni kweli tuliambiwa leo lakn naona mpaka muda huu hakuna jipya da kweli hii serikali sikivu
   
 8. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  AH MI NIMEchoka ku-visit moe au wenzangu inakuaje? Mi kila baada ya dakika 1 nacheki. Ila dah au nani kasema ni leo? Nawakilisha high table?
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tunahangaika na Katiba!inatuwehua kweli?
   
 10. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Marcko,juzi tu Mh Mlugo alituambia leo walituambia wangetoa majina huku katibu mkuu Tamisemi alisema hayo lakn utaona jamaa hawaelezi wazi,ngoja tuone watatudanganya nn tena ikifika Jan
   
 11. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Bajabiri afadhali yako mkuu ulishaanzaga kwenye kada zetu hizi
   
 12. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hata nkipata ajira ,hii asira nlonayo ita xpaya 2050, kipindi hicho hata CHADEMA HUENDA IKAWA IMESAHULIKA LICHA YA chi chi em!
   
 13. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hata wakichelewesha vp kazi ipo palepale wakuu
   
 14. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  dah, hii serikali kweli kimeo.
   
Loading...