Upigie kura mlima Kilmanjaro bure kwa kuandika neno"kili" tuma kwenda 15771 Voda na Zein ni bure

Ingekuwa kumpigia yule toz wa msoga aingizwe katika maajabu 7 ya dunia ningepiga nyingi saaaaana.
 
i hate vodacom hii inanifany nisipie kura hata kama wangekuwa wanalipa
fuk vodacom i real hate this ass holes
 
hili wazo nami linanisumbua, kwani ni nani aliamua Pyramid za Giza, Taj Mahal, nk viwe sehemu ya maajabu. Alafu hili ni suala linalohusu 'maajabu ya dunia" na hizi sms zinatumwa tu hapa hapa TZ. Na mhamasishaji ni Mama Salama JK, au ndiye ameteuliwa na hao wanaouchagua kuhamasisha?
Sasa kwa nini sisi wenyewe tusiamue tu kuwa ni 'ajabu la dunia' bila kuutegemea hao 'wachaguaji'?
Huenda tunaambukizwa ukilaza bila kujijua
Naupigia kwa nini maajabu ya dunia huwa yana amuliwa kwa sms au vigezo mkuu?
nani aupigie kura mlima Kilimanjaro wakati mbunge wetu Lema anasota mahabusu?
 
Jaman mie nlijua kuwa maajabu 7 ya dunia hayabadiliki kumbe ni uwezo 2 wakuvote.
 
wakisema tuipigie tanzania kuwa ajabu la dunia nitapiga fasta mana tunaishi kimaajabu sana.
 
What should an individual citizen beefit from such endeavor? Acheni usanii maajabu ya dunia hayapatikan by vote.
 
Back
Top Bottom