Eti kazi tahisi kufanya ni hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti kazi tahisi kufanya ni hii?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by raffiki, Nov 15, 2011.

 1. r

  raffiki Senior Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waungwana nimesikia BBC jamaa mmoja anahojiwa kanasema eti kama mwanaume ameangaika bila mafanikio na anataka kutafuta kipato basi kazi rahisi kabisa kufanywa kwa mwanaume ni uandishi wa habari je ni kweli?
   
 2. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,246
  Trophy Points: 280
  Nikweli mkuu.we umepiga 3 yrs kwa digrii upo mtaani toka mwaka 47.Mwenzio kilaza tu wa std 7 kamaliza 2010unamuona ktk screen akisoma habari.
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Sa kazi ya kusoma taarifa ya habari hata mtoto wa darasa la kwanza kwenye vipindi vya watoto tunawaona wakisoma na wakiwahoji wenzao.

  We unafikiri watangazaji wa clouds wana-toil nini?

  Nyingine ni ya kufanya matusi.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwa hyo mnamshauri nin kibonde wa clouds?
   
 5. g

  gizalucky Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  hakuna kazi rahisi...hahahahaaaa
   
Loading...