Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari Mimi ni Mhitimu wa chuo ngazi ya shahada (Uchumi) naomba mwenye kujua taasisi zinazohitaji mchumi, au connection ya kazi zinazoendana. Nipo tayari kufanya kazi taasisi yoyote , naweza...
1 Reactions
3 Replies
677 Views
Ndugu zangu habari na heshima kwenu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, mkazi wa Dar es Salaam, kwa sasa najishughulisha na kazi ya ufreelancer katika kampuni moja malipo ni kwa commission...
2 Reactions
4 Replies
526 Views
Habari wadau. Nina ofisi inayoshughulika na uuzaji mabegi ya nguo pamoja na mgongoni jijini Mwanza. Naitaji kijana wakusaidiana nae majukukumu ya dukani Sifa; 1) awe anajua kusoma, kuandika na...
4 Reactions
7 Replies
764 Views
Habari wana JF July 2021 nilikuja humu kwa wana JF nikiwa natafuta kazi Click here for the reference. Nataka kushare na nyie wadau mambo niliyojifunza katika utafutaji wangu wa ajira, pengine...
13 Reactions
21 Replies
2K Views
Anahitajika kijana anayeweza kufanya kazi za pedicure na manicure, Ni biashara ambayo ndiyo kwanza tunaanza, vifaa vyote vipo, kila tunapofunga hesabu jioni, tutagawana ikiwezekana 50/50, Eneo ni...
2 Reactions
3 Replies
511 Views
Naitwa Christian naishi Kurasini, uhasibu natafuta gari ya kufanya bolt, Nina account na tayar kuanza kazi mda wowote 0698568933 kwa yeyote mweny uhitaji wa derava bolt ahsateni
1 Reactions
5 Replies
734 Views
Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss. Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani? Mimi Mwl muuza Kangala
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu zangu natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao na mdf bord.... Ni mzaliwa wa Tanga ila kwa sasa nipo Dodoma. Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote. kikubwa maelewano
2 Reactions
0 Replies
328 Views
Habari zenu wakuu! Hope mnaendelea poa na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo husika.,,, Katika harakati za kuomba mkopo via Ess napata changamoto, yaan mfumo unaniandikia phone no...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu naomba kufahamu kama mchakato wa kuita Vijana walioomba kuandikishwa jeshini tangazo la ajira mwezi wa saba mwishoni je tayari wamemaliza?
0 Reactions
5 Replies
471 Views
Anahitajika dereva daraja la D au C uzoefu miaka 3 na kuendelea kuendesha gari la kampuni na hoteli Jijini Mwanza Kirumba. mshahara mazuri na maslahi yatatolewa. piga 0739290084 au 0655290084.
2 Reactions
5 Replies
567 Views
Habari WanaJF Naomba anayejua mishahara ya hizo taasisi za TCRA na BOT anijuze maana nimesikia ndio Taasisi zinazoongoza kwa mishahara.
2 Reactions
51 Replies
16K Views
WanaJF nisaidie sheria za kazi zinasemaje kuhusu mtumishi wa umma anayeenda kusomea kada tofauti na ile aliyoajiriwa nayo? Mf. niliajiliwa kama mwalimu nina miaka 8 kazini na nimejiendeleza...
2 Reactions
61 Replies
50K Views
Habari wakuu? Baada ya serikali kunyakua madaktari na kuwapa ajira, sasa baadhi ya hospitali kuna nafasi zimeachwa wazi, hospitali ya rufaa inatafuta madktari daraja la II. Kama una ndugu yako...
0 Reactions
3 Replies
598 Views
Jf habari za humu Uzi wangu huu hauna mambo mengi, mimi n kijana wa kiume umri miaka 25 kwa sasa sina kazi yeyote na ninatamani sana kuhama mkoa niliopo. Ombi langu kwenu najua humu kuna watu...
0 Reactions
5 Replies
677 Views
Job Summary Financial strategy and Planning – Contribute strongly to the formulation of SCB Tanzania strategic and medium-term financial plans and their implementation. Ensure accurate and...
1 Reactions
2 Replies
553 Views
Hivi kwa mfano mtu akikuuliza mashahara mzuri kwako ni Tsh ngapi au unaanzia Tsh ngapi? Kwangu nikipata kuanzia net ya Tsh. 2,000,000/= nitajiita moja ya wenye mishahara mizuri Tanzania, wewe je?
14 Reactions
201 Replies
34K Views
Suala la uhamisho kwa watumishi wa umma limekua kero kubwa hasa baada ya ujio wa mfumo wa ess,ambapo sasa maombi yote ya uhamisho hufanyika katika mfumo huu. Tangu kuanza kwake hadi sasa kumekua...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni kijana miaka 25, Natafuta kazi yoyote iwe ya halalli. Namba yangu 0757 692 993
6 Reactions
16 Replies
683 Views
Back
Top Bottom