iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 452
- 1,133
Mimi ni kijana miaka 25, Natafuta kazi yoyote iwe ya halalli.
Namba yangu 0757 692 993
Namba yangu 0757 692 993
Yaani simple as this....🤔Mimi ni kijana miaka 25 , Natafuta kazi yoyote iwe ya halalli namba yangu 0757 692 993
Upo duniani ama sayari nyingine? Kwa maelezo yako haya umeshapata kazi yoyote kutoka kwa mtu yeyote aliyepo popote,utaripoti kituo chochote cha kazi kwa muda wowote na mshahara utapata TGS ngazi yoyoteMimi ni kijana miaka 25 , Natafuta kazi yoyote iwe ya halalli namba yangu 0757 692 993
Alianza kwa kutafta Mke Kati ya mwalimu au nesi, sijui alimpata👇🏻 Mwanamke mwalimu & Nurse alie Tayari kuolewaYaani simple as this....🤔
Si alisikia kua nesi na mwaliku wanapenda hadi wanawakopea wanaume, dogo akadhani nlbasi hiyo ndo fursa.Alianza kwa kutafta Mke Kati ya mwalimu au nesi, sijui alimpata👇🏻 Mwanamke mwalimu & Nurse alie Tayari kuolewa
Nakutia moyo kazi utapata..hakika kazi zipo nyingi sanaa.Mimi ni kijana miaka 25 , Natafuta kazi yoyote iwe ya halalli namba yangu 0757 692 993
Kazi haihitaji ujuzi....anatafuta kazi sio ajira.Huna ujuzi wowote?
Mke ulishapata? Ulitaka kuanza na mke af umalizie na kazi mmh!!!!Mimi ni kijana miaka 25 , Natafuta kazi yoyote iwe ya halalli namba yangu 0757 692 993
we unajua kwa nini nimemuuliza kama anaujuzi wowote?Kazi haihitaji ujuzi....anatafuta kazi sio ajira.
Punda hajasoma na anafanya kazi,
Mimi siyo mtabiri..... 😊we unajua kwa nini nimemuuliza kama anaujuzi wowote?
Huna ujuzi wowote?
Siku hizi ndoa ni ajira, olewa tuu