Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,195
- 1,472
.
Migogoro❌ Morogoro✅Shule ya secondary ni wasichana inayofata misingi ya Roman Catholic church inatangaza nafasi ya kufundisha masomo ya
ENGLISH na LITERATURE (nafasi 3)
BIOLOGY na CHEMISTRY (3)
Shule ipo migogoro wilaya ya ifakala
Benefit
●mshahara (juu ya laki 6 na chini ya milion 1)
●Kiinua mgongo
●mkataba
●nyumba bure vyumba 3 kimoja master
●shamba heka 5(panafaa saana kulima mpunga)
●Bima ya afya kwa muajiriwa na wategemezi 5
●Masomo ya jioni kipindi kimoja 10K
●chakula asubuhi mchana na usiku kwa muajiriwa
●Kukopeshwa na tasisi za fedha
SIFA ZA MUOMBAJI
•Degree ya education kwa masomo husika
•Uzoefu angalau wa miaka 2
•uchapa kazi
Mwisho wa Tangazo hili ni tarehe 18/11/2024
Chek Me PM
Mshahara kima cha kuanzia ni hicho juu ya laki 6 na chini ya milion 1(huwa inapanda kila mwaka)Ongezeni mshahara angalau ufike mil 3 Ili walimu tuombe. Pia muwe na bima nzuri na iwe inalipwa na muajiri. Pia muwe mnatoa bonasi Kila baada ya ku renew mkataba, isiyopungua mil 10.
Hapo tutaomba walimu wale Waziuri tunao elewa mambo. Tuwafundishe vijana wafaulu vizuri.
Ndoto yangu hio "Siku nikija kuanzisha shule ntawalipa walimu hivyo".
Shule ipo nje ya mji kidogo ila kuna huduma zoteMkuu shule ipo ifakara mji sehem gani
Na hivyo vyumba vitatu ni kwa kila mwalmu au walimu wte hao 6 watagombania vyumba 3?
Ok sawaShule ipo nje ya mji kidogo ila kuna huduma zote
Nyumba ni kwa kila mwalimu anapewa kota ya vyumba vitatu (maji na umeme bure)
Mkifikia kutafuta mwalimu wa Mathematics, nitaomba taarifa pia ...kazi njemaShule ya secondary ni wasichana inayofata misingi ya Roman Catholic church inatangaza nafasi ya kufundisha masomo ya
ENGLISH na LITERATURE (nafasi 3)
BIOLOGY na CHEMISTRY (3)
Shule ipo morogoro wilaya ya ifakara
Benefit
●mshahara (juu ya laki 6 na chini ya milion 1)
●Kiinua mgongo
●mkataba
●nyumba bure vyumba 3 kimoja master
●shamba heka 5(panafaa saana kulima mpunga)
●Bima ya afya kwa muajiriwa na wategemezi 5
●Masomo ya jioni kipindi kimoja 10K
●chakula asubuhi mchana na usiku kwa muajiriwa
●Kukopeshwa na tasisi za fedha
SIFA ZA MUOMBAJI
•Degree ya education kwa masomo husika
•Uzoefu angalau wa miaka 2
•uchapa kazi
Mwisho wa Tangazo hili ni tarehe 18/11/2024
Chek Me PM
Tunahitaji pia mathematic and physicsMkifikia kutafuta mwalimu wa Mathematics, nitaomba taarifa pia ...kazi njema
hii signature yako imenikumbushambali sana, ila pia imeniambia kuwa Tanzania uhai wa mtu si kitu mbele ya sheria na mamlakaOngezeni mshahara angalau ufike mil 3 Ili walimu tuombe. Pia muwe na bima nzuri na iwe inalipwa na muajiri. Pia muwe mnatoa bonasi Kila baada ya ku renew mkataba, isiyopungua mil 10.
Hapo tutaomba walimu wale Waziuri tunao elewa mambo. Tuwafundishe vijana wafaulu vizuri.
Ndoto yangu hio "Siku nikija kuanzisha shule ntawalipa walimu hivyo".
Hii ni bahati mbaya kwangu, me Nina SoMo Moja tu la kufundisha.... Mathematics...Tunahitaji pia mathematic and physics
Sawa mwalimu. Hoja yako ni ya kuzingatiwa. Nchi wengine, wanaojitambua- ualimu ni taaluma yenye mshahara mnono na marupurupu ya kutoshaOngezeni mshahara angalau ufike mil 3 Ili walimu tuombe. Pia muwe na bima nzuri na iwe inalipwa na muajiri. Pia muwe mnatoa bonasi Kila baada ya ku renew mkataba, isiyopungua mil 10.
Hapo tutaomba walimu wale Waziuri tunao elewa mambo. Tuwafundishe vijana wafaulu vizuri.
Ndoto yangu hio "Siku nikija kuanzisha shule ntawalipa walimu hivyo".
Upo sahihiKabla hamjaibiwa fanyeni mawasiliano Ifakara View attachment 3150432View attachment 3150433View attachment 3150434
Watu wa Geography lini mnatuhitajiUpo sahihi
Namba za simuShule ya secondary ni wasichana inayofata misingi ya Roman Catholic church inatangaza nafasi ya kufundisha masomo ya
ENGLISH na LITERATURE (nafasi 3)
BIOLOGY na CHEMISTRY (3)
Shule ipo morogoro wilaya ya ifakara
Benefit
●mshahara (juu ya laki 6 na chini ya milion 1)
●Kiinua mgongo
●mkataba
●nyumba bure vyumba 3 kimoja master
●shamba heka 5(panafaa saana kulima mpunga)
●Bima ya afya kwa muajiriwa na wategemezi 5
●Masomo ya jioni kipindi kimoja 10K
●chakula asubuhi mchana na usiku kwa muajiriwa
●Kukopeshwa na tasisi za fedha
SIFA ZA MUOMBAJI
•Degree ya education kwa masomo husika
•Uzoefu angalau wa miaka 2
•uchapa kazi
Mwisho wa Tangazo hili ni tarehe 18/11/2024
Chek Me PM
Sisi tuliomaliza juzi hatuhutajikiENGLISH na LITERATURE (nafasi 3)
BIOLOGY na CHEMISTRY (3)
Shule ipo morogoro
Benefit
●mshahara (juu ya laki 6 na chini ya milion 1)
●Kiinua mgongo
●mkataba
●nyumba bure vyumba 3 kimoja master
●shamba heka 5(panafaa saana kulima mpunga)
●Bima ya afya kwa muajiriwa na wategemezi 5
●Masomo ya jioni kipindi kimoja 10K
●chakula asubuhi mchana na usiku kwa muajiriwa
●Kukopeshwa na tasisi za fedha
SIFA ZA MUOMBAJI
•Degree ya education kwa masomo husika
•Uzoefu angalau wa miaka 2
•uchapa kazi
Mwisho wa Tangazo hili ni tarehe 18/11/2024
Chek Me PM
PmSisi tuliomaliza juzi hatuhutajiki