Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ni jambo la ajabu lakini la kweli. Mojawapo ya tangazo lililowekwa katika tovuti ya ajira portal na mara zote kabla hujaweza ku apply system inakuambia ama kukukumbusha uhakikishe ume attach...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Anahitajika Mwalimu wa muda " part-time" mwenye uzoefu Video production, Video graphic, Graphic design na Electronic media, mwanafunzi anaishi Dar es salaam, asanteni.
2 Reactions
5 Replies
683 Views
Wakuu Leo nimefanya paper ya written utumishi, na matokeo wametoa Leo Leo, si mchezo yaani mstari wa not selected Umeanzia kwangu na ukizingatia nimepata 75% yaani inauma mno asali inanipiga...
5 Reactions
13 Replies
934 Views
Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku, Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza. lengo la...
1 Reactions
12 Replies
965 Views
Benjamin Mkapa Hospital is established under the Government Notice No.453 of 2015 which was gazetted by the government on 16th October, 2015 after its inauguration on 13th October, 2015. The...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za weekend wadau, Leo naomba nitoe ushauri kwa wahitimu wa vyuo mbali mbali ambao wamemaliza na wanaotarajia kumaliza astashahada, stashahada, na shahada kuhusiana na mfumo wa ajira...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za weekend wadau, Leo naomba nitoe ushauri kwa wahitimu wa vyuo mbali mbali ambao wamemaliza na wanaotarajia kumaliza astashahada, stashahada, na shahada kuhusiana na mfumo wa ajira...
1 Reactions
1 Replies
570 Views
Kwa wale ambao mkiamka hamjui mkashinde wapi. Kwa wale ambao mmesoma na mnapambania kupata ajira. Nimewawekea link ya group ya whatsapp hapa, kinachotakiwa ni wewe kufuatilia na kuwa Fasta...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Serikali itoe ufafanuzi kwanini baadhi ya watumishi wamekosa mshahara na wengine wamepata? Je, Hazina imekauka?
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu mambo vp? HiviTCB wameshaita watu interview kwa post walizotangaza mwezi August na September 2024? Kwa waliopo close na jiko naomba updates pliz
0 Reactions
4 Replies
551 Views
Habari za Jumapili wapedwa. Napenda kuuliza Wazoefu wa safari ya Nairobi kutokea Arusha. Mimi naitaji kuelekea West Land. Lakini sifahamu chochote. Kwanzia Nauli ya kwenda na kurudi. Gharama za...
3 Reactions
13 Replies
949 Views
Iwe ni katika vituo vya kutolea huduma za afya (hospitali, vituo vya afya au zahanati), mashirika ya umma au binafsi au katika taasisi za elimu. Nipo tayari kuanza kazi mda wowote ule nitakaohitajika.
0 Reactions
3 Replies
505 Views
Habari zenu wadau, naomba kuuliza kama kuna mtu amefanya usaili wa kuandika hivi karibuni PSRS kada ya Tutorial Assiatant kwa huu mfumo mpya, je usaili unafanyika kwa computer kama wengine? mfano...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu,hivi mradi wa Bomba la mafuta TAZAMA wanaajiri vipi,na vipi kuhusu marupurupu na mishahara inakuwaje? maana tokea nimeomba nafasi mwezi wa 9 sioni feedback yoyote
1 Reactions
4 Replies
501 Views
Je, unahitaji huduma bora za Graphic Design? Kama jawabu ni ndio! Basi hii ni sehemu sahihi ya kutatua haja yako. Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu: 🔹 Huduma ya Logo design...
3 Reactions
6 Replies
763 Views
Katika hali ya sasa ambapo ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania unazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka, inasikitisha kuona kwamba serikali bado inaajiri watumishi wa umma, hususan walimu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 28 Graduate wa Mzumbe Level ya Degree katika Chuo Kikuu Mzumbe Coures: Information Communication Technology with Business ( ICT-B). Nimefanya kazi hii ya Graphics...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom