Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Natafuta kazi ya part time. nina Degree ya uhasibu na fetha. kwa yeyote mwenye taarifa naomba msaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman wana JF naomben full information kuhusu ajira mpya za kiujiunga na jeshi la polisi mwaka huu kwa sababu ukiingia kwenye mtandao wa jeshi la polis kuna tangazo lao lilelile linalowahusu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanaJF wenzangu.nimepata field ktk kampuni ya TICTS,natakiwa kuripoti jumatatu ijayo,nimemaliza chuo na mina Advanced Diploma in IT..naomba msaada kwa waliowahi fanya field hapo je,wana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninatarajia ku graduate mwezi wa 6 mwaka huu..
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu wanajamii forum naomba kujuzwa kama application mafunzo (CERTIFICATE OF NURSING AND MIDWIFE) Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii zimeshaanza kwan niliambiwa zinaanza mwez Januari lakini mpaka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hbr wadau,mimi ni mhitimu katika fani ya elimu ya jamii (sociology).Natafuta sehem ya kufanya part-time job,kwa walio na makampuni au NGOs nzega naomben msaada wenu.Kwa wenye nia tuwasiliane kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani mbona kimya sana hawa bodi ya mikopo?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MATRON - SHINYANGA VTC Qualification: A minimum of form IV Secondary School Education, or its equivalent Diploma in Education ,Social welfare or Nursing from a recognized Institution Apply: The...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habarini wana jamii forum ,kwa mwenye infomation za part time job of Accountant arusha aniambie kwni ninatafuta part time ya kazi ya wasibu mkoa wa Arusha !nina Advance diploma ya Accounting na...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nlifanya interview ya oral PSPF walisema wangeita watu january. Mwenye taarifa,msaada please.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa pembejeo za kilimo na vyakula vya mifugo; tunahitaji afisa masoko na mauzo kama unaweza na unaelimu hiyo weka mawasiliano yako hapa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wandugu embu angalia ajira za utumishi zilivyongumu kupata kwa waliowahi kuwa watumishi wa umma bila kujali labda shirika lilikufa kama UFI au shirika liliuzwa kama TTCL na mengine mengixi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Edgepont Dieter's ni club ya kupungua mwili ambayo hupika vyakula vya diet na kukuletea nyumbani au kazini. Breakfast, lunch na dinner ni kwa shilingi 8,500/= tu. Tuna 'Edgepoint 14 day diet'...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi tanapa wanaita watu baada ya muda gani?au ndio mpaka tusahau ndio waanze kuita.?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Anahitajika mkalimani anayejua lugha ya kiarabu na kiingereza haraka sana. kazi ni kuwaongoza wageni kutoka uarabuni kwa muda wa siku 3 kuanzia mchan huu. anayeweza kazi hii haraka an PM
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa kuwa ndo nimemaliza tu chuo mwaka jana, naomba mtu anayetaka nifanye kazi kwake kwa kujitolea bila malipo yoyote (on part time basis though)..na siku za ijumaa full time, katika maeneo ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Out
Ndugu!!Usaili OUT vip?any details abt shortlist
0 Reactions
2 Replies
1K Views
am ready to work any where, to do anything man can do..... so wrong as it is neither illegal under our laws nor immoral.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Make Massive income from Google. No MLM, No scheme a real income opportunity. We create a website for you that will generate life income for you. Even when you in sleep or at work, your...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom