ajira za jk zina vikwazo

aswa

New Member
Feb 9, 2012
1
0
wandugu embu angalia ajira za utumishi zilivyongumu kupata kwa waliowahi kuwa watumishi wa umma bila kujali labda shirika lilikufa kama UFI au shirika liliuzwa kama TTCL na mengine mengixi. Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply.Secretary,Public Service Recruitment Secretariat,P.O. Box 63100,DAR ES SALAAMIla wapo waliorejeshwa kwa vimemo na wengine wakaboronga tena na sasa wapo mahakamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom