NINA DEGREE YA BUSINESS ADMINISTRATION(marketing & International Business)

Insabhunsa Gusa

Senior Member
May 13, 2011
109
88
Kwa kuwa ndo nimemaliza tu chuo mwaka jana, naomba mtu anayetaka nifanye kazi kwake kwa kujitolea bila malipo yoyote (on part time basis though)..na siku za ijumaa full time, katika maeneo ya sales and marketing, global business logistics, customer care nk. Unaweza kuniandikia hapa jones992k@hotmail.com

Asanteni sana wana JF.
 
Safi sana; hiki ndicho ninachotegemea kwa wale wanaotafuta kazi. Hopefully utafanikiwa!!!!.
 
Kwa kuwa ndo nimemaliza tu chuo mwaka jana, naomba mtu anayetaka nifanye kazi kwake kwa kujitolea bila malipo yoyote (on part time basis though)..na siku za ijumaa full time, katika maeneo ya sales and marketing, global business logistics, customer care nk. Unaweza kuniandikia hapa jones992k@hotmail.com

Asanteni sana wana JF.

chuo gani umemaliza?
 
Hongera kwa kujituma ila zingatia kuwa kufanya kazi bila malipo ni kinyume cha sheria, lazima ulipwe angalau minimum wage.
 
dogo i like your strategy..sio kama wale wanaolalama hawana kazi ilihali wakijua pia hawana experience ya kazi..get ur xperience ready for real market/ employment....

DOGO UMETISHAAAAA...kama vipi njoo pm nione unavyoweza kuanzia kwetu hapa uchukue ma-skillz ya kitaa uzame nayo soko la ajira...alafu piga kazi kila office unayopata only a week ili linapokuja suala la work xperience uwe umefunika..yap...ndani ya mwaka unakuwa umepiga kazi 54 offices....bongeeeeee la experience mpaka waajiri watakuogopa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom