Mkanganyiko juu ya ajra mpya katika jeshi la police | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkanganyiko juu ya ajra mpya katika jeshi la police

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by luhuwa john, Feb 19, 2012.

 1. l

  luhuwa john Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jaman wana JF naomben full information kuhusu ajira mpya za kiujiunga na jeshi la polisi mwaka huu kwa sababu ukiingia kwenye mtandao wa jeshi la polis kuna tangazo lao lilelile linalowahusu kidato cha sita waliomaliza mwaka huu tu lakin leo kuna mtu nilikuwa nachat nae kwenye FB ni askari polisi kaniambia nafasi zimetoka lakin ni kwa kidato cha nne na sita wa mwaka jana, sasa hapa nashindwa kuelewa kabisa kutokana na huu mkanganyiko ebu jaman wana jf naombeni taarifa kamili kwa mwenye nazo.i
   
 2. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  we si umecheki kwenye mtandao ndo ukweli huyo aliekwambia hajui llote
   
 3. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  vuta uzi huu 911 kwa maelezo zaidi........
   
 4. k

  kiwembe1983 Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  acha ujinga.taarifa kamili ni hizo ulizoziona kwenye website yao.watanzania mmezoea sana majungu,yaan unawezaje kuomba taarifa zaid mtaani wakati umeona taarifa kamili kwenye website ya hao jamaa?huyo uliechat nae ndo IGP au?badilikeni.
   
 5. Myelife

  Myelife Senior Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Taarifa iliyo ktk web imesainiwa na mkuu wa mawasilino na mkurugenzi sasa huna budi kuiamini
   
Loading...