Application ya certificate of nusing

Sanga n.

Member
Jun 28, 2011
51
11
Ndugu wanajamii forum naomba kujuzwa kama application mafunzo (CERTIFICATE OF NURSING AND MIDWIFE) Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii zimeshaanza kwan niliambiwa zinaanza mwez Januari lakini mpaka sasa hakuna tangazo lolote kwenye website yao wala magazeti.
Msaada wenu plz.
 
Jaribu kufuatilia mtu wa wizarani maana matangazo wakati mwingine hubandika huko.
 
Hawatangazi ili wapeleke ndugu jamaa na marafiki zao. Hata ukienda Wizarani watakunyanyapaa. Wangekuwa wa wazi na wakweli wangetangaza maana wote hawawezi kwenda wizarani
 
Hawajatoa tangazo tangazo lolote kuhusiana na hizo kozi za afya. Endele kufuatilia kwenye mtandao wa wizara hilo tangazo huwa linawekwa mara tu wanapoanza kupokea maombi. Usikate tamaaa. Muda ndio unakaribia. Na nitaliweka hapa kwenye jamvi pia hilo tangazo likitoka so stay tuned mkuu.
 
Wanatakiwa watu wenye sifa zipi maana nina dogo amepata d zote isipokuwa math ana f, je anaweza kwenda unesi?
 
Naomba msaada kwa kaka langu amepata 4 ya 33 kafauru Bio na civic je anaweza kwenda nursing?

Mhh hapo lazima rushwa iwepo kuna dogo 1 huku kitaan alipata bios D na kisw D cha ajabu amechukuliwa kwa hyo uckate tamaa jaribu haswa haswa pitia chuon c unajua chuon kuna zile nafas ambazo zinabakia kwa ajil ya watu kama hao.
 
Hawajatoa tangazo tangazo lolote kuhusiana na hizo kozi za afya. Endele kufuatilia kwenye mtandao wa wizara hilo tangazo huwa linawekwa mara tu wanapoanza kupokea maombi. Usikate tamaaa. Muda ndio unakaribia. Na nitaliweka hapa kwenye jamvi pia hilo tangazo likitoka so stay tuned mkuu.

Nashukuru ndugu yangu kwa maelezo ya kina na ya kutia moyo. Lord be with yuo. Thanks.
 
Back
Top Bottom