Kwanza kabisa nianze kusema hakuna kitu kinaumiza Kama kukosa mchongo
Ni nadra Sana hasa kwa mtoto wa kiume kuwa SAWA endapo Hana mishe inayoeleweka yakumpatia hela .
Juzi kati kuna mtu alileta...
Habari,
Nimemaliza chuo mwaka huu. Kwa sasa nipo Dar es Salaam, nimesoma Bachelor of Science in Taxation chuo IFM. Nina uwezo mzuri katika kutumia Microsoft Office kama Excel.
Pia nimewahi...
Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na...
Mimi ni mmoja wa wauguzi watarajali (Intern Nurses) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, kuna changamoto kubwa tunazopitia kutoka kwa msimamizi wa mafunzo wa hospitali yetu. Tumejaribu...
Ninaandika makala hii si kwa sababu nimekosa kazi, wala si kwa sababu nina malalamiko binafsi dhidi ya Benjamin Mkapa Hospital (BMH). Ninaandika kwa sababu nilishiriki katika mchakato wa ajira wa...
Wakuu kama Kuna mtu unamfahamu Yuko Dodoma ni kinyozi anahitajika ,Kuna saloon ya kawaida inahitaji Kinyozi .ataachiwa ofisi awe anatoa kipande Kwa boss
Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHW) Tabora hatujalipwa posho zetu tangu Mwezi wa 4 hadi leo mwezi wa 9, kila siku Katibu wa Afya anasema kila kitu kipo tayari na hela ishapelekwa bank lakini...
Mimi napenda kumfichua jamaa mmoja anaitwa ALLY OMARI ZABRON anafanya kazi wizara ya elimu, huyu jamaa anawatapeli watumishi wa umma kuwa anaweza kuwahamisha kutoka sehemu waliopo na hivyo kula...
Natafuta kijana mwenye uwezo wa kutumia AI vizuri haswa kwenye interior design za majengo.
Kama upo na ujuzi huo nitafute tufanye kazi
Kazi ipo Dar es salaam hivyo ni vizuri ukiwa Dar es salaam...
Mimi ni muajiriwa wa Serikali nipo Dodoma, mke wangu aliajiriwa na Serikalini Mwaka 2022 katika halmashauri moja iliyopo Katavi kwa taaluma ya AFISA TABIBU DARAJA LA PILI.
Kwa miaka takribani...
Halmashauri ya Wilaya ya Songea, DED anazuia barua za uhamisho zilizotoka TAMISEMI au UTUMISHI, jambo ambalo ni kinyume na utaratibu wa kazi na maelekezo ya Katibu Mkuu TAMISEMI.
Hali ilivyo kwa...
APPOINTMENT OF MEMBERS TO THE GOVERNING BOARD AND BOARD OF TRUSTEES
BACKGROUND
The Media Council of Tanzania (MCT) is an independent, self-regulatory body for the media industry in Tanzania...
Niliposikia uamuzi na msimamo wa baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuhusu wageni, wakiwemo Watanzania na raia wengine wa nchi za Afrika, binafsi niliuelewa kwa mtazamo wa mstakabali wa maisha yao...
Watendaji wa Kata kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara, tunadai posho za madaraka kwa miezi 8 sasa bila mafanikio.
Halmashauri ina kata 22, hivyo kila Mtendaji wa Kata anadai...
Kuna mjadala unaoendelea miongoni mwa wahitimu wa Health Information Science (HIS) kuhusu ajira, hali ambayo kwa sasa imefikia zaidi ya miaka sita bila hata nafasi kuonekana wazi kwenye mifumo...