Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Samahani wana JF nilikuwa naomba kwa wanaofahamu kuhusu mishahara wanaolipwa wahandisi wa umeme (Electrical engineers) kwa graduate wa kuanzia diploma, degree na masters pamoja na careers...
0 Reactions
29 Replies
32K Views
Wadau ivi awamu ya kwanza kwa mwaka huu kwa vijana wakujitolea si ilimalizika mwezi wa 6? Na je kwanini inachukua mda mpaka kuitaji awamu nyingine? Na pia kuna watu walisema ni mwezi wa kumi na...
0 Reactions
134 Replies
32K Views
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Ofisi ya Baraza la Mapinduzi Zanzibar kama ifuatavyo:- 1. Afisa Utafiti Daraja la II “Nafasi 1” Sifa za Waombaji: • Awe ni...
2 Reactions
37 Replies
32K Views
Habarini humu ndani Kama nimekosea jukwaa mtanisamehe. Mimi ni fresh graduate. Nimemaliza chuo mwaka jana. Katika mishe za kutafuta kazi nimehangaika sana. Nime apply sehemu kama 10+ hakuna hata...
3 Reactions
263 Replies
32K Views
Taarifa Zilizonipata ni kwamba Zima Moto kesho. Be patient na usikose kuja JF kusoma jina lako wewe uliye-apply. Updates: Gazeti la daily news halina link. We tafuta gazeti kwanza au check...
1 Reactions
180 Replies
33K Views
Habari zenu Mabibi na Mabwana, Samahani naombwa kujuzwa ivi vyeti vya darasa la saba huwa vinatolewa? Kwa sababu mie binafsi sina. Kwa anayejua please naomba kujuzwa coz pccb wametaja cheti...
2 Reactions
126 Replies
33K Views
Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilipeleka CV yangu na taarifa zangu za kitaaluma TAESA kama Taasisi ya serikali inayoshughulika na ajira yani (Tanzania Employment Services Agency). Nimepigiwa simu...
3 Reactions
105 Replies
33K Views
Heshima yenu wakuu. Ninaorodhesha credentials zangu hapo chini kwa lengo la kuomba kazi ya muda mfupi ama mrefu yenye malipo yasiyopungua 15,000/= kwa siku. 1. Ninaishi Kigamboni 2. Umri wangu...
31 Reactions
503 Replies
33K Views
Wakuu naomba kujua kiwango cha mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi anayeanza kazi na wa mwalimu wa sekondari anayeanza pia kwa sasa.
2 Reactions
78 Replies
33K Views
Habari, Nini kilikusaidia kufaulu usaili wa ana kwa ana (oral) au ulikosea wapi? Naomba tushare expirience wakuu.
7 Reactions
259 Replies
33K Views
Habari zenu wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo kwa wenye uzoefu na interview za tra vipi maswali yanaweza kua kwa upande gani hasa kwa nafasi ya custom officer II pamoja na Tax officer II...
1 Reactions
90 Replies
33K Views
Katika kada inayoongoza kwa kulaumiwa na kuonewa ni afya. Sasa viongozi wa kada hiyo ni madaktari maana ndio moyo. Nataka kujua, wanalipwa kiasi gani mpaka wanaonewa kiasi hicho? Tulinganishe na...
46 Reactions
252 Replies
33K Views
Jamani kwa wale wadau ambao tumeitwa interview NSSF mwenye idea ya maswali yanayoulizwa kwenye iyo interview tuje tudiscuss hapa,au kama unakumbuka position description tupeane hapa,..najua...
1 Reactions
152 Replies
33K Views
Msaada kwa anayefahamu vyuo vya uandishi wa habari vinavyopatikana jijini Dar es Salaam kwa ngazi ya cheti. Kwa anayejua naomba anitajie.
0 Reactions
30 Replies
33K Views
Wakuu habari za siku habari za mihangaiko??? jamani WCF wametoa shortlist yao so kwa wale walioomba angalieni kwenye web yao {japo net yao iko down saana wakuu} ila komaeni nayo. kila la kheri...
2 Reactions
84 Replies
33K Views
Salary Slip Portal Wizara ya fedha wametoa portal rasmi ya kupata salary slip kwa njia ya mtandao (online) kwa watumishi wa umma *Taarifa zinazohitajika* >Check number >Majina yako matatu...
1 Reactions
22 Replies
33K Views
kama unajijua una lower second class nibora ukajishughulisha na kazi zingine…!
7 Reactions
137 Replies
34K Views
WE ARE LOOKING FOR HOLDERS OF BACHELORS DEGREE OR FTC OR DIPLOMA IN THE FOLLOWING DISCIPLINES - ELECTRICAL ENGINEERING - ELECTRO – MECHANICAL ENGINEERING - MECHANICAL ENGINEERING -...
0 Reactions
6 Replies
34K Views
Heshima mbele wakuu naambiwa kuwa TAKUKURU wame tangaza kazi kwenye daily news la leo mwenye taarifa tafadhali. Wengine huku tuliko gazeti la leo tunasoma baada ya siku mbili. @Lyandembele 1
1 Reactions
49 Replies
34K Views
Habari zenu wana JF!! Nimeona katika tovuti ya utumishi wametupia majina ya watu waliofanikiwa kuitwa kwenye Usaili kwenye zile nafasi 2285 zilizotangazwa tarehe 25/05/2012 katika fani mbali...
1 Reactions
15 Replies
34K Views
Back
Top Bottom