Wizara ya Fedha na Huduma ya Hati ya Mshahara Mtandaoni

Wizara ya Fedha na Huduma ya Hati ya Mshahara Mtandaoni

Daraja Makofia

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
729
Reaction score
970
Salary Slip Portal

Wizara ya fedha wametoa portal rasmi ya kupata salary slip kwa njia ya mtandao (online) kwa watumishi wa umma

*Taarifa zinazohitajika*
>Check number
>Majina yako matatu
>Tarehe ya kuzaliwa
>Vote (kwa mfano 88Z2)
>Subvote (kwa mfano 5007)
>Account namba ya Bank yako
>Salary Scale (utajaza TGTS, TGS, n.k)
>Salary Grade (utajaza B,C,D,E n.k
>Salary Step (utajaza 1,2,3 n.k

Ukifanikiwa kusajiliwa utaenda ukurasa unaofuata ukajaze
>Namba ya simu
>email address
>Password

Utaweza kuanza kuitumia baada ya saa 24

Tembelea link ujisajili

Ni vizuri ukatumia compyuta kujisajili, kwa njia ya simu bado inasumbua.
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    23.2 KB · Views: 641
Why is t necessary?
Kwann ukiingiziwa mshahara usitumiwe slip?
 
Hizo salary slips ni tofauti na zile zilizopo watumishiportal???
 
Hizo vote na subvote zinapatikanaje? make tokea nianze kupokea mshahara sijawai kuona salary slip ya serikali kwasababu process za ajira nilifanya na ikanikuta tayari nilishaanza majukumu nje ya Tanzania
 
watumish portal saivi haitoi hizo slip. Umejaribu ku log in hivi karibuni?
Mkuu Mr Q inatoa. Nimejaribu kulogin na nimeprint salary slip ya November. Ya December bado hawajaweka!
0d82d2f64f914aa1e2d01135282a0769.jpg
 
Najua hii ni nje ya mada, watumishi wote wa umma/serikali wana email address za kiofisi au wanatumia za kwao binafsi za gmail, yahoo, hotmail n.k?
 
Back
Top Bottom