Naandika nikiwa na majonzi mengi sana mimi ni kijana wa miaka 27 jobless ambae napambana na natamani kubadili maisha yangu ila hivi vigezo vya ajira kwa kigezo cha umri vinatukosesha sana ajira...
Habari,
Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding. Kituo kipo tayari kuanza kazi.. Kijana mwenye ujuzi huo au alietoka veta anifuate dm kwa mazungumzo zaidi. Kituo kipo Dar es salaam.
Karibuni...
Ndugu yangu kabisa mambo, natafuta dada wa kufanya kazi stationery,
Sifa
Awe anajua vizuri computer na kazi zake.
Awe anajua kazi za stationery sio analetewa kazi inamshinda
Eneo la kazi ni...
Hello Wana JF
Nashida katika uombaji ajira hizi za Uhamiaji, nimesha fanikiwa atua ya awali ya kujisajiri Sasa changamoto inakuja pale ninapo taka kuendelea kuja taarifa zangu zingine hainiletei...
Kwenu wakubwa kwa mwajina Hamisi Ally
Elimu kidato cha sita (06)
Makazi: Dar,mabibo
Miaka:25
Kijiwe:kariakoo
Mwenye connection itakayoniwezesha kupata pikipiki ya mkataba
naomba tuwasiliane...
nimeona hili tangazo la ajira za jeshi la uhamiaji, naombeni kujua kwamba, kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti toka vyuoni wanaombaje hizi nafas? maana nimeona vyeti vihakikiwe, inakuwaje...
Toka Sensa ipite serikali ikagawa VISHIKWAMBI imekuwa na kigugumizi sana Cha kuajiri waalimu wapya
Toeni ajira vijana wanataka kulifanyia kazi taifa sio kupewa VISHIKWAMBI
TAMISEMI na serikali...
Habarini za muda huu wakuu,
Mimi ni kijana mwanajukwaa mwenzenu nipo Kahama hapa naona maisha yananiendea kombo hiki kipindi kiasi kwamba mpaka kula yangu inaelekea kuwa jambo la mashaka,hivyo...
Anahitajika Mwalimu mahiri ngazi ya shahada katika somo la Jiografia na Historia au Jiografia na kiswahili. Shule ipo Mbeya Mjini na inatoa mshahara scale ya serikali..... Kama Hauna mastery of...
Wadau,
Kwa wale wenzangu na mie wasaka ajira naomba tuyataje mashirika, taasisi au sekta ambao ni wabaguzi sana katika mifumo ya kuajiri. Yawe yale ya mjuano, upendeleo, rushwa n.k
1. World...
Tazama Pipelines Limited, an interstate organization owned by the United Republic of Tanzania and the Republic of Zambia and which deals in transportation of petroleum products from Dar es Salaam...
Habari,
Ni Binti Wa Ki Tanzania Mwenye Umri Wa Miaka 21 , Elimu Yake Form 4 Amesomea Level 2 Ya Ufundi Bomba (Plumbing & Fitting) Anafuta Kazi Yeyote Halali Ambayo Itamuingizia Kipato. Kama...
Ni kiwango kipi mtu anaweza sema amepata kazi ya mshahara mzuri kwa hali ya maisha iliyopo hapa nchini na kwenye soko la ajira bongo?
Wadau wa maokoto ya mwisho wa mwezi tupeni abc
Sisi Watumishi wapya wa Sekta ya Afya katika Halmashauri ya Jiji - Dar es Salaam tunafanya kazi katika mazingira magumu mno.
Tangu tuajiriwe mwanzoni mwa mwezi Novemba 2024, kuna baadhi yetu...
aiseeee
Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION"
what the hell is this???
Naombeni kazi ya uuguzi
Mimi ni msichana wa miaka 25 muuguzi ngazi ya degree mwenye valid licensure Nina uzoefu wa kutosha natafuta kazi iwe hospital au kwenye shirika au chuoni kufundisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.