Glladiaterjuma
New Member
- Sep 4, 2024
- 1
- 1
Jamani mm ni mtumishi niliyehamia wilaya ya wanging'ombe bila exchange na mtu yoyote lakini maafisa elimu msingi wa pale hawtaki ueleze chochote wanafosi kukupanga wao hivi nimepanhiwa ndani ambako hadi kufika napopahitaji nauli ya boda boda ni elf 25000 hadi nimeamua bora nirudi tu nilikotoka kwa wakati ngazi za juu wamenisikiliza ila wao hawataki kabisa je taratibu za kazi hapo zipoje mana hadi najilaumu hii wilaya sio ya kuhamia kabisa