Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu kama kuna yeyote aliyewahi fanya kazi za security au anayejua mazingira ya kazi za security maeneo ya Dubai na Oman anipe mrejesho maana kuna dili nimepata huko ili nijue kama pananifaa au laah
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za wakati huu!! Mimi ni muhitimu wa ngazi ya diploma in Civil Engineering mwaka 2017 pia namalizia masomo yangu ngazi ya Bachelor in Civil Engineering katika chuo cha DIT. Kwa sasa natafuta...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu. Mimi nilikuwa nauliza malipo ya sales agents wa NBC yanakuaje kwa waliowahi kufanya hii kazi miaka ya nyuma
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za mda huu wakuu. Natafuta kazi ya sales and marketing Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye iyo sector Nauwezo mkubwa wa kuongeza mauzo na soko kiujumla. Let win the market together 0774214255
2 Reactions
0 Replies
396 Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,,, "" hamna zipo ,,hamna zipo " hatimaye majibu yamepatika Bila shaka utumishi wameprove kile wanachokisimamia,,, kuwa hamna mtu atakaye pata kazi kwa kupitia...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu natamani sana kufanya ya call centre kwenye kampuni yoyote hapa Dar nataka nianze kusambaza cv zangu humo jee ni mambo gani muhimu ya kuzingatia?ni mambo gani l napaswa kuyazingatia ili...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari wadau wa JM Mimi ni kijana wa kitanzania npo Dar natafuta kazi ya kuchoma nyama kwenye hotel au restaurant. Nina uzoefu mzuri na kazi hii .kwa ambae anatafuta mtu kwaajili ya kazi Kama hii...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Member wa Jf Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango ( Metrology and Standardization) Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika...
1 Reactions
1 Replies
545 Views
picha zinaoneka wasailiwa wamelala Usaili unaendelea lakini hali sio nzuri wanaumia zaid ni wale waliomaliza miaka ya nyuma . Any way tusubiri ripoti ya waziri. Soma Pia: Waombaji ajira za...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni muajiriwa katika kampuni ya mawasiliano hapa Tanzania, ili kutimiza majukumu yangu nahitaji vijana wawili ambao nitasaidiana nao katika majukumu hayo...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu natafuta sehemu yeyote ya kujitolea kufundisha hayo masomo, kama kuna shule inahitaji mwalimu nipo hapa kwasasa nipo Dar es Salaam Soma Pia: Anahitajika Mwalimu wa Kujitolea kufundisha...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hello everyone I have a Bachelor degree of Art with Education specialized in English and Kiswahili from University of Dar es Salaam Nipo Dar es Salaam natafuta kazi ninao uwezo wa kufundisha na...
2 Reactions
4 Replies
761 Views
Habari, Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, husika na cha habari hapo juu. Mpishi anatafuta kazi, jinsia (Me). Sifa: Ana uzoefu wa kupika vyakula mbalimbali vya ndani na nje, michemsho ya kila aina hadi ya mamba! ni mpishi mzuri...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu, Polen sana na majukumu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tafuta kazi ya upishi. Mimi ni mpishi mzuri sana wa bites na chakula.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanazengo Samahani nimepangiwa kikazi. Masasi Mazingira ya Masasi yapoje mwenyeji anijuze na ipo sehemu gani na mabasi ya kuja huko. Mtaa gani mzuri ambao hautakuwa mbali sana na...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
POSITION DESCRIPTION: North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit four (04) Graduate Mechanical Engineers to join Underground Maintenance team. The successful candidates for...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26 natafuta kazi Nina elimu ya mechanical engineering level ya degree Napatikana dar es salaam kwa sasa 0656 548919
2 Reactions
73 Replies
17K Views
Details Application deadline: 2018-11-03 Salary Range (Tsh): More Than 4,000,000 Business / Employer name: Cement Company Company Industry: Manufacturing Job Level: Management level Work Type...
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Back
Top Bottom