Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Imekuwa kawaida Mtumishi kusema ''nina mwaka 2,3 ,4 nk, nahangaikia swala la uhamisho na ugumu upo katika Ofisi za halmashauri hawataki kuruhusu mtu kuhama'', Mtu unaweza jaza kwenye mfumo (ess...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Tunajifunza kutokana na makosa. Tunaomba uzoefu wako katika hili. Asante.
6 Reactions
74 Replies
2K Views
Nisiwachoshe. Kama mliamua kiwango Cha chini ni 50%, haya mambo ya kuishia 80% mmeyatoa wapi??
8 Reactions
102 Replies
3K Views
Habari Wanajamvi la JamiiForums, Samahani naomba kuulizia kiwango cha msharahara (Pesa) ambayo mfanyakazi anaweza kulipwa kwa kwango hiki hapa. > Salary Scale OSHA-Scale 6.1
0 Reactions
40 Replies
20K Views
POST: PLANT INSPECTOR II – 1 POST POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER: Occupational Safety and Health Authority (OSHA) APPLICATION TIMELINE: 2020-01-22 to 2020-02-05 JOB...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer...
0 Reactions
2 Replies
729 Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.JA.9/259/01/98 15th November, 2021 On behalf of Tanzania Railways Corporation (TRC), Public...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu ningependa kujua mshahara wa mechanical technician kwa mtu mwenye elimu ya diploma na hii ni kutokana ni interview moja niliyofanya huku wakinilalanikia kuwa nimetaja kiasi kikubwa sana...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ninauhitaji wa Mechanical Engineers wenye sifa na uwezo kama nilivyoonyesha hapa chini. Mechanical Engineers, with CSWIP 3.1 certification and NDT qualification (VT;PT;MT;UT & RT). Naomba kama...
0 Reactions
2 Replies
727 Views
JE, KILA MTIHANI NI FURSA YA KUFANIKIWA ? Nataka uweke hili kwenye akili yako: Unaweza kufaulu Aptitude Test au Written kwa maksi za juu sana kiasi cha kuwa wa kwanza ila ukakosa ajira. Naam...
15 Reactions
17 Replies
5K Views
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia...
23 Reactions
178 Replies
18K Views
Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu. Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda...
11 Reactions
68 Replies
3K Views
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana...
8 Reactions
177 Replies
23K Views
=========UPDATE======== NAFASI ZIMEKWISHA JAA, NA HILI TANGAZO LIMEFUNGWA, ASANTE. ================ Hello bosses and roses... Anahitajika binti wa kufanya majukumu yafuatayo kwenye kampuni...
5 Reactions
12 Replies
757 Views
Kutokana na uelewa mdogo wa taaluma mbali mbali. Vijana wengi wanapo hitimu elimu ya sekondari haswa kwa kidato cha sita. hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari. uwalimu. ama uwanasheria...
4 Reactions
30 Replies
916 Views
HABARI !!!NAHITAJI KIJANA WA KIUME ANAEJUA KUPAKA KUCHA RANGI,KUBANDIKAKUCHA, NA KUBANDIKA KOPE ENEO :KATORO- GEITA MAWASILIANO 0693795737 MSHAHARA MAELEWANO Sourc: Ajirazone,on Instagram @ajirazone
2 Reactions
4 Replies
513 Views
Nakumbuka nliona tangazo la kazi, mshahara laki 370,000 kwa mwezi limebandikwa kwenye nguzo ya umeme, nikapiga namba ya simu, nikaelekezwa mahali ofisi ilipo, hiyo ofisi ipo mbele ya jengo la TCRA...
37 Reactions
230 Replies
36K Views
Habarini ndugu wana jf.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21,elimu yangu ni form 2.Sikuweza kumaliza shule kwa sababu maisha ya nyumbani sio mazuri familia yetu ni ya mama mmoja na watoto watatu...
7 Reactions
100 Replies
6K Views
Kuna kakazi sehemu nataka nikaombe kazi inahtajika CV na mimi sina naomba mnipe sample wakubwa
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom