Kazi ya Duka/Stationaries/Uwakala/Supermarket

Hell2Heaven

Senior Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
173
Reaction score
465
Habarini wapendwa!

Kuna msichana wa miaka 25, Yupo Dar es Salaam, anatafuta kazi za Supermarket, Bakery Shop, Stationaries, Duka la Nguo/Duka la Vipodozi, Duka la Uwakala wa Miamala, Duka la Vinywaji baridi(Siyo grosary) na Mengineo ya kufanana nazo.

Kama una muitaji wasiliana na mimi kwa Number (Deleted Phone No. for Privacy reason) nikuonganishe naye.
 
Habarini wapendwa!

Kuna msichana wa miaka 25, Yupo Dar es Salaam, anatafuta kazi za Supermarket, Bakery Shop, Stationaries, Duka la Nguo/Duka la Vipodozi, Duka la Uwakala wa Miamala, Duka la Vinywaji baridi(Siyo grosary) na Mengineo ya kufanana nazo.

Kama una muitaji wasiliana na mimi nikuonganishe naye.
Wakware namba hiyo mmepewa bila kuomba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom