Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu mimi ni kijana wa miaka 22 natafuta ajira yoyote ya kujikimu kwa muda huu pia nina ufanisi wa biashara ya mauzo pia nina leseni ya udereva ila kwa sasa natafuta ajira yoyote ile ili nijikimu...
6 Reactions
10 Replies
683 Views
KUMEKUCHA, Walimu waliofanya usaili wa mahojiano pekee waitwa kazini tayari
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hivI?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Je wewe ni kijana wa kitanzania mwenye elimu kuanzia kidato ch kwanza mpaka chuo kikuu? Unaishi Kilimanjaro, Manyara Mbeya, Iringa au mbeya na Dsm pamoja na Morogoro? Una uzoefu wa kufanya kazi...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali...
22 Reactions
308 Replies
15K Views
Hii ni nchi ya ajabu sana. Unamaliza mpaka chuo kikuu lakini siku ya interview wanakwambia hawakujui eti kisa ulipoteza vyeti tu hata kama viliungua moto ndani. Nchi ya maajabu sana. Hata IT...
1 Reactions
3 Replies
465 Views
Nina wazo la kuanzisha kampuni ndogo ya ujenzi, ambayo timu yake itakuwa hivi:- Architecture - 1 Quantity surveyor - 1 Marketing - 1 Kwa kuwa kampuni itakuwa bado ni changa, haitaweza kulipa...
10 Reactions
90 Replies
2K Views
Mwenye mkeka wa walimu waliopata ajira 2024/2025 naomba pls Nasikia yameshatoka ila najaribu kusakua kila website sioni. Natanguliza shukrani🙏
8 Reactions
19 Replies
5K Views
Jaman Kwa Hali hii Bora serikali irudishe ajira za ualimu KULE TAMISEMI ki ukweli huku kwenye interview tunakomoana hebu fikiria maswali haya kwenye GEOGRAPHY IIIC Miaka kumi imepita leo naulizwa...
19 Reactions
107 Replies
5K Views
Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Loan Officer, Credit Officer or Head of Branch kwenye Microfinances tu or any legal work NB:NIKO NA UZOEFU NAZO Nimeambatanisha Wasifu Wangu Wako Mtiifu 0656391899, 0789435341 DAR ES SALAAM.
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba Malazi ni bure...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Elimu:Elimu ya juu(A - LEVEL) Ujuzi: VETA na SIDO. Makazi: Dar Naweza fanya Kazi: Popote Ujuzi wangu wa miaka zaidi ya minne(4) unajumuisha: *Uundaji wa mashine za kutotoreshea vifaranga wa...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
Changamkieni fursa hiyo.
5 Reactions
19 Replies
946 Views
Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
POST AFISA KILIMO DARAJA LA II - 3 POST POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS EMPLOYER Wizara ya Kilimo APPLICATION TIMELINE: 2022-03-15 2022-03-28 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Overview EWURA Tanzania Jobs 2020. The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world-class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.Naomba kama Kuna mwenye kazi au connection za kazi,mahali popote professional nimesoma ualimu,“Diploma for secondary education ”masomo ya phizikia,pamoja...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Back
Top Bottom