1
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/D/22 22 Machi, 2013
KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma...
eebwana JKT nafasi zinatoka march kati kati 2012 so kaeni tayar ndugu zangu...NB:Hauwezi kuwa mwana jesh wa JWTZ bila ya kupita JKT vinginevyo uwe proffessional acheni kudanganyana brothers&sisters...
u hali gan mtanzania
mwenzangu..napenda
kutanguliza shukran kwa wewe
kufungua thread hii ambayo
lengo lake ni kukwambia
kilichonisibu na wewe kunipa
ushauri au msaada husika na
cyo...
natafuta
kazi yeyote ile yenye uhalali.kama kuuza duka la nguo,vipodozi.vyakula
,saloon. au aina yeyote ile ya biashara,,elimu form 4,nipo dom kwa sasa
bt hme ni dar,am girl 21 yrs plz!!!pm me
jamani naomba mnisaidia namna ya kufanya online application kwenye website ya PWC cuz sijaona link yoyote ambayo unaweza fanya registration ya graduate programme Plzzzz wana JF
Habari za leo wana JF. Mimi ni kijana wa kitz, nilimaliza chuo miaka 3 iliyopita, kutokana na uhaba wa ajira nimejikita zaidi katika ujasiriamali. Kwa hapa nilipofikia nnahitaji kushirikiana na...
JOB VACANCIES:Urgently required.We are one of the top five countrywide vendors of centralized students information systems,mainly dealing with IT related products.We are looking for two(2) highly...
Naomba kujua kuhusu salary ya Loan officer au bank officer wa AKIBA COMMERCIAL BANK (ACB), na pia kuhusu ujumla wa mazingira ya kikazi ya hii bank. Nawasilisha.
SALES REPRESENTATIVE POSITION
Are you a young, energetic and responsible Tanzanian looking for a chance to work in a well organized company? Simgas is looking for sales representatives to sale...
WABANTU CO. LTD, Wanahitaji assistant manager, mwenye vigezo vifuatavyo; muombaji awe jinsia ya kike,awe amemaliza elimu ya juu kuanzia degree,kozi ya BBA au BACC,awe na uwezo wa kuandaa...
Wadau,
Mdogo wangu anatarajia kufanya Intavyuu katika NGO moja hivi iliyoko hapa DSM siku ya Jumatatu.
Anadai yeye katika Intavyuu kadhaa (kama 3 hivi) alizopitia swali pekee ambalo linamtatizaga...
Mwalimu wa masomo tajwa hapo juu awe amefanya BAED na awe ame Major kwenye Linguistics and Political science that means atafundisha General Studies na English Language anahitajika shule moja ya...
kumbe nafasi za kazi zilizotangazwa za opportunity na maimatha ni za uongo kuna rafiki yangu alituma maombi akaambiwa atume hela ya form katuma katumiwa form kwenye email kuipeleka ofisi za...
habari wadau natumai wote wazima sasa bila kumung'unya ng'unya maneno mimi ni muhitimu wa kidato cha sita miaka kadhaa iliyopita na nilifanikiwa kujiunga na chuo kikuu huria (open university of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.