Msaada simgas

Msaada simgas

missa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
360
Reaction score
193
Mambo zenu wanajamvi,
Nauliza jamani nikitokea ubungo nikitaka kwenda chang'ombe maduka mawili inabidi nipande magari ya wapi? na nishukie wapi?
 
panda magari ya mbagala yanayopita uwanja wa taifa ushuke kiwanda cha serengeti kisha utembee kuelekea maduka mawili au upande magari yaendayo k/koo ushake maduka 2. au panda magari ya tandika, ukifika tandika panda magari ya k/koo yapitayo chang'ombe ushuke maduka mawili. ukifika maduka mawili ulizia kiwanda cha simtank kipo karibu na kiwanda cha magodoro ndo simgas wapo. kiwanda kipo barabara ya ya kwanza kutoka maduka 2 upande wa viwanda. mia
 
poa mkuu asante nimekupata.
 
simtank we unasema simgas mpaka hapo huna job lol
 
Back
Top Bottom