Jkt&jwtz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jkt&jwtz

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by olomi Jr., Mar 3, 2012.

 1. o

  olomi Jr. Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eebwana JKT nafasi zinatoka march kati kati 2012 so kaeni tayar ndugu zangu...NB:Hauwezi kuwa mwana jesh wa JWTZ bila ya kupita JKT vinginevyo uwe proffessional acheni kudanganyana brothers&sisters...
   
 2. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  chanzo cha taarifa yako please! Pia, sio kweli kujiunga JWTZ ni lazima upitie JKT,bali kinachotokea ni kwamba wanatafuta urahisi wa kurecruit vijana wa jkt kwa kuamini uimara na ufahamu wao juu ya masuala ya ulinzi. Thus, nafasi ya kujiunga na JWTZ iko wazi kwa kila raia wa Tanzania anayetimiza masharti yaliyowekwa.
   
 3. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 1,185
  Trophy Points: 280
  mgambo ni mwezi wa ngapi?
   
 4. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Na mm uniulizie sungusungu ni mwezi wa ngapi? na je nayo hadi nipitie jkt?
   
 5. U

  Unkwn Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari zenu waungwana ,naomba kuulza mtu mwenye certificate yalaw ,pindi atakapopata nafac yakwenda mafunzon atakuwa anastahli ama atapewa cheo kipi?tafadhal wadau mwenye kujua mnijulshe
   
 6. P

  Pelege Senior Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe certificate ya law utakuwa kuruta tu,wenye degree wenyewe wapo wengi sana mtaani hata uhakika wa kupata nafasi kazi,mwenye uhakika kabisa ni mtu mwenye masters.
   
 7. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Salu security services(seseco) cjui n lini mana'ke ninacheti cha 4m4
   
 8. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,285
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mbona nasikia wengine wanasema kuchukua afisa kadeti wamesogeza hadi mwezi wa nane??
   
 9. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,873
  Likes Received: 1,560
  Trophy Points: 280
  Wapi zubeda mchuzi ndio huwa ana full madetail!
   
 10. Quirine

  Quirine Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utapewa jibu muda ukifika usiwe na haraka
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,873
  Likes Received: 1,560
  Trophy Points: 280
  asante mungu mwezi wa nane ntakuwa nimemaliza digrii yangu.
   
 12. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  hizi zote story tu...hakuna mwenye uhakika wa nafasi hizi...jamaa yangu ambae yupo kikosi cha rada ana diploma,pamoja na wengine ndo kwanza wamekusanya vyeti kwa ajiri ya usaili wao...na mpk sasa hawajaitwa.....nyie wa nje ambao hata mgambo hamjapita itakuwaje....

  acheni story za kusadikika hapa.......nimeongea mpk na watu wa makao mpk sasa ajira za jeshi za maafsa ni kitendawili hapo ni muujiza...kama zikitoka wale wenye masomo ya ART mna kazi ngumu...safari hii wameenda wengi sana.

  JKT mpk mwezi wa NNE ila ni kwa form 4 na STD VII.....
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  masomo ya arts yamekuaje tena mdau,ebu tufafanulie kdogo?
   
 14. E

  Elisha hima New Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tarehe iliyotoka makao makuu ya nafasi za jkt ni 15 mwez wa nne
   
 15. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Mbona mnakimbilia ujeda?Hata Ualimu ni dili.Natamani sana kuitwa tcha regardless nna elimu gan.
   
 16. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  mniulizie nafasi ya TISS maana naona wote mnakimbilia jwtz
   
 17. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  leo nilikuwa Makutupora ndani kikosini,nikiwa katika kazi zangu,gafla nikakutana Na MP,nikamwuliza safari hii mtachukua jkt la wataalamu? Jibu lake lilikuwa hv,kwa taarifa anazozijua yeye kuwa mwaka huu kuna Jkt compusory ila hakusema ni hawa form six au wataalamu..akasema ngoja waone mpaka mwezi wa Nne.

  Hata wao wa ndani hawana isue kamili vuteni subira mtaenda...
   
 18. o

  olomi Jr. Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jwtz imetoa nafasi kwa wanamuziki..for more informations tembeleen kwa washaur wa migambo...
   
 19. o

  olomi Jr. Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkiliman ndugu yangu uwe unafanya uchunguz kabla ya ku comment....
   
 20. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  si mchezo..., ila jeshi flexibility.
   
Loading...