kuna wezi waliiba benki,walipofika kwao mmoja akasema tuhesabu ili tujue tumepata sh ngapi!,mwingne akasema tuache tu tusubiri taarifa ya habari ya saa mbili watatangaza hela iliyoibiwa. Na wewe ndg unataka watu wakutangazie sehemu ya kufanya field? Acha uzembenatafuta sehemu ya kufanyia field mwezi wa saba nasomea maswala ya development stidies.