Msaada wenu Wanajf

Msaada wenu Wanajf

Morick

Senior Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
114
Reaction score
17
Naomba kujua kuhusu salary ya Loan officer au bank officer wa AKIBA COMMERCIAL BANK (ACB), na pia kuhusu ujumla wa mazingira ya kikazi ya hii bank. Nawasilisha.
 
Umepata nafasi ya yule bwana aliyeiba pale acb ya kkoo nini hehehehe mi sijui ngoja waje!!
 
Back
Top Bottom