Msaada - "Tell us about Yourself"

Msaada - "Tell us about Yourself"

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,991
Reaction score
30,188
Wadau,

Mdogo wangu anatarajia kufanya Intavyuu katika NGO moja hivi iliyoko hapa DSM siku ya Jumatatu.
Anadai yeye katika Intavyuu kadhaa (kama 3 hivi) alizopitia swali pekee ambalo linamtatizaga ni hili la "Tell us about Yourself".

Anachodai ni kua hajui awaambie nini kuhusu hili swali katika vifuatavyo hapa chini,
1) Historia yake toka alipozaliwa
2) Maisha yake ya Kila siku
3) Tabia zake kwa Ujumla
4) Aina yake ya ufanyaji wa kazi,
5) Lingine lolote kama lipo.

Amejaribu kuniuliza nimsaidie lakini hata mimi sielewi kwani sijawahi kua "interviewed" (nimejiajiri).
Wadau, kwa yeyote ambae anajua majibu hasa ya hili swali la intavyuu naomba tumsaidie bwana mdogo, na wengineo ambao wanatarajia kufanya intavyuu karibuni kwani, pengine watu hua wanakoseaga.
 
Mwambie 'awamwagie' CV yake kwa ufupi kutoka katika ile aliyowaandalia rasmi, hii inatosha..
 
asummarise cv yake kwa kifupi sana lakimi il;ete maana na kueleweka
 
Mi naona bado hamjanisaidia,
CV ina Personal Details, Academic History, Job History, Achievements, Summary of Duties alizowahi kufanya n.k.
So mnamaanisha amwage haya yote kwa ufupi?
Means akumbuke vyuo vyote alivyosoma, training zote alizopitia, n.k.?
 
wewe hujui hata maana ya kufupisha aeleze jina lake alipozaliwa elimu msingi mpaka alipoishia alipofanya kazi hapo umesammarise na watu wanakuelewa wewe ni nani ndani ya dk 2 tu au unataka aeleze anwani zake email namba za simu mwajili wake na nk kwako ndi sammary
 
Mi naona bado hamjanisaidia, CV ina Personal Details, Academic History, Job History, Achievements, Summary of Duties alizowahi kufanya n.k. So mnamaanisha amwage haya yote kwa ufupi? Means akumbuke vyuo vyote alivyosoma, training zote alizopitia, n.k.?
Amwage yafuatayo. 'Personal details -meaning name, date of birth, place of birth,marital status' kwa ufupi, 'academic history -meaning dates,colleges,qualifications attained' kwa ufupi, 'Job history-meaning dates, places,positions, major duties' kwa ufupi,'major skills acquired' na 'a competitive edge' n.k. Kwa ujumla isizidi ukurasa mmoja wa A4.
 
1) Historia yake toka alipozaliwa
2) Maisha yake ya Kila siku
3) Tabia zake kwa Ujumla
4) Aina yake ya ufanyaji wa kazi,
5) Lingine lolote kama lipo.
haya ndo majibu yenyewe but awe in brief!
 
Wadau msimpotoshe hilo swali halihitaji hayo mambo mnayoyasema kwani kila kitu kipo kwenye CV unachotakiwa kujibu kwa hilo swali ni zile personal attributes za mfano ukiniuliza mie hilo swali kwenye interview ntakujibu kuwa mie ni mchapakazi hodari, ninayeshirikiana vizuri na wenzangu katika kuhakikisha kuwa malengo ya kampuni au asasi inatimiza malengo yake, nina kawaida ya kutekeleza majukumu yangu kwa umakini mkubwa na bila kusimamiwa na ninatimiza majukumu niliyopewa na wakubwa wangu kwa wakati na zaidi ninapenda kujifunza zaidi mbinu mpya za ufanyaji kazi toka kwa wafanyakazi wenzangu na wakubwa zangu. hili swali halihitaji kueleza historia yako maana tayari wameshaisoma kwenye CV yako
 
Amwage yafuatayo. 'Personal details -meaning name, date of birth, place of birth,marital status' kwa ufupi, 'academic history -meaning dates,colleges,qualifications attained' kwa ufupi, 'Job history-meaning dates, places,positions, major duties' kwa ufupi,'major skills acquired' na 'a competitive edge' n.k. Kwa ujumla isizidi ukurasa mmoja wa A4.
Anaenda kwenye Oral Interview Mkuu Mungo Park, hapa A4 haiingii!!
 
Last edited by a moderator:
Wadau msimpotoshe hilo swali halihitaji hayo mambo mnayoyasema kwani kila kitu kipo kwenye CV unachotakiwa kujibu kwa hilo swali ni zile personal attributes za mfano ukiniuliza mie hilo swali kwenye interview ntakujibu kuwa mie ni mchapakazi hodari, ninayeshirikiana vizuri na wenzangu katika kuhakikisha kuwa malengo ya kampuni au asasi inatimiza malengo yake, nina kawaida ya kutekeleza majukumu yangu kwa umakini mkubwa na bila kusimamiwa na ninatimiza majukumu niliyopewa na wakubwa wangu kwa wakati na zaidi ninapenda kujifunza zaidi mbinu mpya za ufanyaji kazi toka kwa wafanyakazi wenzangu na wakubwa zangu. hili swali halihitaji kueleza historia yako maana tayari wameshaisoma kwenye CV yako

Exactly nliwaza pia nimwambie hivi, maana mambo mengine wanaweza wakamshushua kua hawahitaji kuyasikia so long as yako kwa CV. But sasa yeye ni fresh from chuo, sijui haya mambo ya kujifagilia atajifagilia kwa lipi wakati hana uzoefu.
 
Wadau msimpotoshe hilo swali halihitaji hayo mambo mnayoyasema kwani kila kitu kipo kwenye CV unachotakiwa kujibu kwa hilo swali ni zile personal attributes za mfano ukiniuliza mie hilo swali kwenye interview ntakujibu kuwa mie ni mchapakazi hodari, ninayeshirikiana vizuri na wenzangu katika kuhakikisha kuwa malengo ya kampuni au asasi inatimiza malengo yake, nina kawaida ya kutekeleza majukumu yangu kwa umakini mkubwa na bila kusimamiwa na ninatimiza majukumu niliyopewa na wakubwa wangu kwa wakati na zaidi ninapenda kujifunza zaidi mbinu mpya za ufanyaji kazi toka kwa wafanyakazi wenzangu na wakubwa zangu. hili swali halihitaji kueleza historia yako maana tayari wameshaisoma kwenye CV yako

Mmmmmmmh!
 
Mbona wakati mwingine wanaku-guide kabisa uelezee education background na work history?
 
Remember, this question is often used specifically to test your response to it. To keep yourself in the running, stay away from talking about personal topics. The interviewer doesn't want to hear about your family or spouse, your hobbies, pets, or personal life. The best way to answer to "tell me about yourself" is to stick to business.

The interviewer wants to hear what you've done in your career, and what you plan on doing. To give them the answer they're looking for, it's best to talk about your past career, things you've accomplisyhed, and what made you decide to apply for this position. Include details about skills you have that directly relate to the job you are applying for.
 
Talk about yourself; future career plans in relation to the particular job you've applied and the company. Ukiongelea mambo yaliyoko kwenye CV yako na wameshaisoma na wanayo hapo, its pity and useless! Unakuwa hujajibu swali.
 
Na 'assume' kama yuko makini atafanya 'homework' kwa ku 'summarize' kwanza katika A4..

Halafu akifika kule atoe desa na kuanza kulisoma mbele yao? au ajaribu kukumbuka?
Hiyo A4 anaichapisha au anaandika kwa mkono?
Mkuu Sting una kazi leo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wadau msimpotoshe hilo swali halihitaji hayo mambo mnayoyasema kwani kila kitu kipo kwenye CV unachotakiwa kujibu kwa hilo swali ni zile personal attributes za mfano ukiniuliza mie hilo swali kwenye interview ntakujibu kuwa mie ni mchapakazi hodari, ninayeshirikiana vizuri na wenzangu katika kuhakikisha kuwa malengo ya kampuni au asasi inatimiza malengo yake, nina kawaida ya kutekeleza majukumu yangu kwa umakini mkubwa na bila kusimamiwa na ninatimiza majukumu niliyopewa na wakubwa wangu kwa wakati na zaidi ninapenda kujifunza zaidi mbinu mpya za ufanyaji kazi toka kwa wafanyakazi wenzangu na wakubwa zangu. hili swali halihitaji kueleza historia yako maana tayari wameshaisoma kwenye CV yako

hilo ndilo jibu sahihi
 
Back
Top Bottom