Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakubwa habarii za muda huu? Hii interview ya Uhamiaji ndio ya kwanza katika maisha yangu maan nimebahatika kuitwa kwa fani ya umeme (electrical engineering) ngazi ya diploma . Kwa hapa mwenye...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
3 Reactions
470 Replies
61K Views
Wakuu, humu kuna mtu amewahi kufanya intership NIDA au kujitolea?? Nimeuliza kujua kuhusu hawa jamaa Jee mtu anayejitolea au kufanya intership nida analipwa chochote au hata posho???
0 Reactions
13 Replies
794 Views
Habari zenu, Kama unatafuta kazi kwenye hizi NGO's ziwe za Local au International kuna usanii mkubwa sana kwenye kuajili au kwenye ajira zao. Yani wanajifanya wanatangaza kazi na kuita watu...
92 Reactions
425 Replies
97K Views
Jamani Naomba Msaada Ndugu Zangu Nna Leseni Cras D Naitja Kazi Ya Uderevar Nipo Mkoani Morogoro Wilayani Mvomero Namba Yangu 0674443530/0622909927
2 Reactions
7 Replies
663 Views
Habari, Naomba muongozo katika Hili swala. Baada ya kusajili local company, nikajisajili Nest, na Sasa nimekua napata invitation za tenda mbalimbali kulingana na leseni yangu. Nimeapply tenda...
2 Reactions
50 Replies
3K Views
Kijiji kipo juu milimani , miundombinu mibovu hasa barabara hamna maji ya bomba , ni kwenda mtoni , network ni YAS tu, Shughuli za kilimo cha chai ndo kipo huku ila kiwanda kimefungwa . Serikali...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi. Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado...
2 Reactions
11 Replies
740 Views
Jaman matokeo ya usaili wa somo la geografia yametoka. Idadi ya waliochaguliwa ni ndogo sana. Jumla ya watainiwa ilikuwa 20,979 Ambao hamechaguliwa (selected) ni 948 Na ambao hawajachaguliwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
2 Reactions
4 Replies
485 Views
Teknolojia sio rafiki wa Mwanadamu kwenye ajira
3 Reactions
6 Replies
455 Views
Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kuanzisha mchakato wa kuhama kituo Cha kazi na changamoto zake kwenye mchakato. Ahsante
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree Tunashida na ajira lakini mifumo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini wapendwa! Kuna msichana wa miaka 25, Yupo Dar es Salaam, anatafuta kazi za Supermarket, Bakery Shop, Stationaries, Duka la Nguo/Duka la Vipodozi, Duka la Uwakala wa Miamala, Duka la...
1 Reactions
8 Replies
981 Views
Habari wakuu kwa mtu mwenye ofisi ya uwakala na anatafuta dada mzoefu kwenye kazi ya uwakala anaweza kunichek...ikiwa Dar itapendeza zaidi
3 Reactions
8 Replies
782 Views
Kazi zenye mishahara mikubwa huwa hazitangazwi, Kwa utafiti wangu binafsi, nimekuja kugundua kazi nyingi zinazotangazwa kwenye mitandao mbalimbali, magazeti n.k, nyingi huwa ni zile zenye...
18 Reactions
72 Replies
14K Views
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 22 natafuta ajira yoyote ya kujikimu kwa muda huu pia nina ufanisi wa biashara ya mauzo pia nina leseni ya udereva ila kwa sasa natafuta ajira yoyote ile ili nijikimu...
6 Reactions
10 Replies
683 Views
KUMEKUCHA, Walimu waliofanya usaili wa mahojiano pekee waitwa kazini tayari
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hivI?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom