Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya...
0 Reactions
2 Replies
488 Views
Gdence Auto Spare Parts and Service ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji wa vipuli vya magari kutoka German na urekebishaji (Service) ya magari hayo. Ofisi zetu ziko Dar es salaam maeneo ya Sinza...
3 Reactions
6 Replies
562 Views
Nimefanya kazi kwenye NGO kwa miaka 8 mpaka mradi wangu wa mwisho ulivyofika tamati. Maisha yangu ni ya kujichanganya na watu wote kwa sababu sijawai kujiona special kwa lolote nafanya kazi...
31 Reactions
68 Replies
4K Views
MWF TANZANIA We are seeking the services of a cyber security expert in Dar es salaam, see below and apply if you are suited for the role. Role Purpose The role holder will be primarily...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Kama kuna mtu anahitaji dereva wa kukodi kwa trip au safari basi naomba anijulishe..ni udereva wa muda trip tu naamnisha ukiwa umechoka au unahitaji kuenda sehemu yoyote ila unahitaji kusaidiwa...
4 Reactions
13 Replies
806 Views
Samahani wakuu katika harakati za ugonga ulimbo nilikuwa nafanya application ndani na nje ya nchi sasa niliomba kazi shirika la Nestle global nchini Ghana. Nimepokea mwaliko wa interview huko...
12 Reactions
87 Replies
3K Views
Reporting line- Manager; CyberSecurity Job Summary Responsible for daily monitoring of the IT Infrastructure using security technical expertise and looking for patterns and potential issues, this...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kufuatia agizo la Donald Trump kusitisha misaada kwa shirika la USDA, naomba kufahamu yafuatayo:- 1. Je, Kuna shirika ambalo limeshafanya handover? 2. Mali za mashirika zitapigwa mnada au...
2 Reactions
6 Replies
490 Views
Habari zenu wadau? Kuna binti anatafuta kazi, ana miaka 22. Anasoma chuo ila haitaathiri kazi atayopata. Ni mtu smart, ujuzi wa lugha upo, anaweza kutumia computer vizuri. Anaishi Goba kwahiyo...
1 Reactions
15 Replies
576 Views
About Announcement Number: Dar es Salaam-2022-008 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Political Assistant Open Period: 01/31/2022 – 02/14/2022 Time Zone: GMT+3 Series/Grade: LE –...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
VACANCY ANNOUNCEMENT Ref.No.JA.9/259/01/A/466 1.0 BACKGROUND INFORMATION On behalf of The Arusha International Conference Centre (AICC), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Designated Immigration Officer (DIO) Job Ref: 4611 Job Title: Designated Immigration Officer (DIO) Salary: Starting salary TZS 79,385,152 per annum. (Note that until designation is obtained, the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waungwana naomba nipate kujuzwa, je Kuna tumaini kwa waliosoma SAYANSI asilia vyuoni ? Mfano, nimemaliza BSc. Physics UDOM, lakini Kila ukiuliza unaambiwa hapa haufit. Ualimu hawatuchulukuii Kama...
1 Reactions
5 Replies
498 Views
Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu Najua wengi wenu mtanibeza, ntanitusi na wengine kunikebehi ila kiukweli natamani sana kufanya kazi kwenye telecommunica industry Kwa yeyote...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Natafuta mtu aliyesoma kuhusu mifugo na yupo competent tuwasiliane hasa awe anajua production ya chakula cha kuku na mifugo mbalimbali. Tuwasiliane through call/Whatsapp 0658183618
1 Reactions
3 Replies
353 Views
Habari wana JF Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email...
1 Reactions
2 Replies
511 Views
Anonymous
Watumishi wa umma tumekua tukiomba nyaraka za madai ya madeni yetu mara kwa mara ila hayafanyiwi kazi. Watumishi wengi wa umma wanaidai serikali malimbikizo ya madai mbalimbali ikiwemo kupanda...
2 Reactions
5 Replies
794 Views
Habari wadau, Mimi ni graduate wa food science mwaka jana sijawahi fanya interview kabisa kwenye maisha yangu. Nimebahatika kupita written kwenda oral nafasi ya nutritional officer naombeni...
8 Reactions
26 Replies
5K Views
Back
Top Bottom