Deluxe mbey
Member
- Apr 7, 2012
- 34
- 1
wadau nadhani mnafahamu life mtaani bila job kwahiyo mwenye fursa namba hii 0718904969 mbeya..
kajiotole sehemu zipo nyingi acha kulala.
nenda kafundishe....shule za kata nyingi mno na Mungu atakubariki