Habari za kazi pia poleni na kazi jf member niliomba kazi PLAN INTERNATIONAL na SOS mwezi wa pili mwaka huu lakini naona kimya . mwenye taarifa yyte tafadhali. Thanx
Habari za kazi pia poleni na kazi jf member niliomba kazi PLAN INTERNATIONAL na SOS mwezi wa pili mwaka huu lakini naona kimya . mwenye taarifa yyte tafadhali. Thanx
Kaka hata mimi nliomba SOS nasubiri hadi leo naona kimya sijui watu washaingia mzigoni, Da! tuendelee kusubiri tu bana tutafanyaje sasa na wanasema mvumilivu hula mbivu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.